Baada ya kutangaza kuwa amevuna Wanachama wa Chadema 7000, mara wabunge 7 wa CHADEMA kuhamia CCM, mara katibu Mwenezi wa Kata ya Saranga amehamia CCM n.k imebainika kuwa Mwigulu ni Mzushi Mkubwa na huenda pamoja na kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM ameachukua nafasi ya Hiza Tambwe kwenye kitengo cha Propaganda.
Taarifa yote ya mwigulu imethibitika ni ya uongo baada ya kushindwa kuwataja hao wabunge, pia wanachama anaodai kuwavuna nao ni uzushi mwingine. Kikubwa zaidi ni kuibuka kwa Katibu Mwenezi wa Kata ya Saranga wa CHADEMA na kudai kuwa hajahama Chama na kueleza kuwa Mwigulu aliwadanganya Wananchi kwa kumtambulisha mtu ambaye si Katibu Mwenezi wa Kata hiyo.
Mwigulu ni Mzushi - YouTube