Wakuu!
Huko Manyara Wananchi wamecharuka, wameingia barabarani kupinga Mgombea aliyepitishwa na CCM Kura za maoni za Wajumbe
Kwenye video hii anasikika jamaa hapa akisema "Rais Samia...
1. Dk Wilbroad Slaa
2. Humphrey Polepole
3. Marehemu Kasanga Tumbo
4. Marehemu Kasela Bantu.
5.....
Wengine nikikumbuka nitawataja. Hawa wote walivuliwa kwa kutetea maslahi ya umma wa Tanganyika.
Kulingana na taarifa iliyotolewa leo Agosti 5, 2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Taarifa kwa Umma, John Mrema, Agosti 7 kutakuwa na mkutano mkuu utakaokuwa na ajenda ya kupitisha Ilani ya...
Inasikitisha kuona sasa tunaomba kura kwa lugha za kikabila? Je tunataka wenye kabila letu tu watuchague au kuwaonesha kuwa ni wa nyumbani? Kabila limekuwa kigezo?
Hii ni hatari sana, nchu yetu...
Mara nyingi wanaotoka huko wakiingia upinzani wanashughulikiwa, Mifano ni mingi mno, Wako walioshushwa kwenye Magari na kutobolewa macho.
===================
Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi...
Asma Ali Hassan Mwinyi ameibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Ubunge Jimbo la Welezo Zanzibar. Ushindi huo unampa nafasi kubwa ya kupeperusha bendera ya...
MAKUMBUSHO YAWAKA BAADA YA MUHARAMI CHUMA KUTANGAZWA MSHINDI – WAJUMBE WAPINGA, WATAKA UCHAGUZI URUDIWE
Hali ya sintofahamu Iliibuka katika Kata ya Makumbusho, Wilaya ya Kinondoni, baada ya...
Mbunge wa sasa wa Rorya ndugu Jaffari Chege yuko kwenye wakati mgumu kisiasa kutokana na wananchi wengi wa Jimbo hilo kumkataa hadharani,hii inajidhihirisha wakati huu anapozunguka maeneo...
Kalamu ya Baba Askofu Mch. Dr. Kalikawe Lwakalinda Bagonza
SIYO PIGO KWA Tundu A. M. Lissu Tumepigwa Wote.
Nimesikia baadhi ya watu wanasema Tundu Lisu amepata pigo mahakamani baada ya mahakama...
WANU AMEIR AIBUKA KINARA KWA KUPATA KURA 1,356 - JIMBO LA MAKUNDUCHI
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja, Mhe. Wanu Hafidh Ameir ameongoza kwenye kura za maoni zilizopigwa na...
Wakuu,
Mchakato wa uchukuaji fomu unaendelea Huyu dada anaitwa Grace Saulo Mali yeye alishawahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mkoa wa Kilimanjaro na pia alishawahi kuwania...
"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya...
Miaka kama mitano nyuma nilipoanza kumfahamu Yericko Nyerere nilimuamini na nikiri kwamba nilikuwa mshabiki wake.
Lakini nikaja kugundua jambo moja wasilolijua wengi. Yeriko si mvivu wa kusoma...
Life comes full circle for MahaluDodoma. Many Tanzanians first knew him after he was charged with abuse of office in a case that eventually ended in his acquittal after dragging on for several...
Yericko alizaliwa huko Iringa miaka ya 1984 akiwa ni mtoto pacha na mwenzake.
Yericko ni miongoni mwa watoto 7 wa mzee MKANA kutoka huko kwao.Kijijini Maduma Iringa!
Baada ya kumaliza shule ya...
Kuanzia mwishoni mwa 2015 hadi Machi 17 2021, Tanzania ilipitishwa katika tanuru la mateso makubwa. Tuliona demokrasia ikikandamizwa, uhuru wa maoni ukibanwa, Mahakama ikitishiwa na Bunge...
Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza rasmi majina ya wagombea wa nafasi za Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, kufuatia kikao maalum cha Halmashauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.