The House of Kikwete: What went wrong?

The House of Kikwete: What went wrong?

TROTSKY

Senior Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
134
Reaction score
159
Angalizo:
Greek tragedy
(ɡriːk ˈtrædʒədɪ)
Definitions
Collins English Dictionary
noun(in ancient Greek theatre) a play in which the protagonist, usually a man of importance andoutstanding personal qualities, falls to disaster through the combination of a personal failing and circumstances with which he cannot deal



But legacy and succession are vital to explaining what happened next....

1. Jakaya Kikwete alikuwa ni rais mwenye bahati ya kupendwa na kupewa goodwill na wananchi. In the end nadhani mnajua alivyokuwa compromised na icing on the cake ni kuwa in 10 years alizokaa madarakani hakuwahi kuwa na proper succession planning ndani na nje ya chama zaidi ya kumweka mbele waziri Membe kinyume na alama za nyakati kuwa Membe hakubaliki ndani na nje ya chama. Ushaidi ni namna ambayo alivyokuwa obsessed na anyone but Edward(Lowassa), ikapelekea Ben Mkapa kuona how flawed JK alivyo na kumzidi kete na kumweka candidate wake, the one and only John Pombe Magufuli. In otherwords, its almost 15 years since Mkapa kaondoka lakini watu wake aliowaweka kwenye strategic positions bado wapo na anaendelea kutengeneza empire yake. Jakaya on the otherhand alishindwa kutengeneza leaders kama yeye na sidhani kama ana mikakati ya kufanya hivyo hata nje ya madaraka. Sasa hivi tazama watu wake wa karibu ni wale wale waliokuwa wana mislead alipokuwa madarakani. Anajaribu kuji reinvent as international statesman wakati hapa on the ground ameshindwa kuwa statesman wa kupatanisha Zanzibar na mambo ya maendeleo ndani ya nchi.


2. Salma Kikwete. Huyu mama ni mtu ambaye namkubali na nitaendelea kumkubali kwani pamoja na kuwa mwalimu lakini alitumia influence aliyonayo kuanzisha WAMA Foundation ambayo naming itakuwa imefanya makubwa mengi japo kwa miaka 10 ilitakiwa iwe kubwa mithili ya Clinton Foundation. Career wise mama angeweza kuwa Mbunge wa huko kwao kusini kwani anakubalika na resources zilikuwepo kumsaidia kupata kiti. Huyu mama ni jembe na naamini kuwa she has interests za kuendeleza elimu Tanzania na in particular kuendeleza watoto wakike. In the end hajawa Mbunge wa kuchaguliwa wala wa kuteuliwa. Sina hakika kama naye alitengeneza future women/girl leaders lakini naamini kuwa huyu mama itakuwa alifanyiwa mtimanyongo na wakwere asifike mbali zaidi.


3. Rizwani Kikwete. Need I say more? wanasema ukitaka kumjua Mfalme tazama waliomzunguka na washauri wake. Riz alikuwa one of the most powerful feared young politician nchi hii kutakana na nafasi ya baba yake na yeye mwenyewe kuwa mwanasiasa. Lakini ukitazama watu ambao watu wake ambao aliwasaidia ni mbunge wa Mkuranga (Ulega) ndani ya Chama sasa hivi hana influence kivyo,serikalini hana influence na kwenye biashara wanasema kuwa ile taskforce ya Magu is on his case kutokana na tuhuma mbali mbali rushwa. Gazeti lake limenunuliwa na Manji, Sielewi kama January Makamba aliweza kupata $10 million (http://www.economist.com/node/17369767) toka kwa philanthropists wa Wall Street kusaidia jimbo la Bumbuli sasa Riz kashindwa vipi kupata pesa za kuendeleza jimbo lake? Sasa what went wrong? watu wake wa karibu wanasema kuwa circle yake imezungwa na watu wenye njaa, wanaomfia kila mara,anasikiliza majungu, na hana think tanks za kumsadia kuwa Uhuru Kenyatta ajae. The only success he has ni the one and only PAUL MAKONDA ambaye sasa hivi amemgeuka kuwa foot soldier wa Magu (kanda ya Ziwa mwenzie) bade ya kugundua kuwa he doesn't need Riz anymore. Huyu najiuliza alishindwa vipi kujizungusha na watu wenye kuona mbali na kumshauri vizuri? Riz alifika mahala kila kukicha anajibizana na tabloid media na kuwatisha atawashitaki. Yes this is what our dear precious Princeling Riz was reduced to.

4. Miraji, etc...hawa sasa hivi wanatumwa na waarabu wa Home Shopping Centre kupitia foundation yao ya GSM. Cha kujiuliza inawezekana vipi mzee wao awe the most powerful man in this country for 10 years na immediately after leaving the office wanatumwa na kutumiwa na hawa wa Mahra? Ukweli ni kuwa the rest of the family ni sawa na familia zingine za kiswahili. Shule zao ndogo, na kama wamesoma wengi wao hawajaelimika, wanaendekeza majungu, wanaishi kama makamisheni na misheni town, na the only option waliyonayo ni hii ya kutumwa tumwa tuu na watu wenye pesa zao kama wahindi na waarabu. This should have been the most powerful and influential family in this country kwenye kila sekta (media, politics, business etc) kwa sababu ya impunity ya wakati wa baba yao (kwenye hili naomba niweke wazi kuwa exception ni kwa wale wasomi waliopo kwenye hii family ambao waliamua ku keep low profile na kuishi maisha ya kawaida). Hivi walishindwa kuset up Jakaya Kikweye Foundation? Why GSM aka Home Shopping Centre Foundation? Is this the best this family could come up with?

In this case Jakaya Kikwete amefail na taratibu naangalia the House of Magufuli in the making...
 
Rz1 aliwekeza kwa wanunge wengi vijana.....ngano alitumia cheo cha baba mkumkata Mbunge wa Rufuji na kumweka mtu wake kwenye kura za maoni, hivyo hivyo mkuranga na sehemu nyingine,. Alijaribu na kisarawe akamshindwa Jafo lendo lake ukanda wa bwani awe mbunge pekee mwenye elimu ili iwe rahisi kupata uwaziri.
 
Kwa Magufuli sidhani, ila kwa Kikwete nami.nimebaki kushangaaa!!!

Kwa umaarufu ule aloingia nao familia yake ilipaswa iwe kama Kenyata or Odinga family kule Kenya....

Ndo hivyo tena keshakwenda na maji!!!
siasa za tanzania zina utofauti na kenya mwacheni Jk apumzike alisemwa sana maskini
 
The kikwetes could have been a Political Royalty or Dynasty in this country. Lakini time ndio ishapita
Kuna siku nilisema mahali... kitendo cha JK kumgeuka Lowassa ilikuwa the biggest mistake in his life!!

Kitrndo cha yeye kushinda 2005 licha figisu zote ndo ulikua mwanzo wa kuwa most influential ktk nchi hii... ndo hivyo tena kiendacho kwa mganga hakirudi....
 
Kuna siku nilisema mahali... kitendo cha JK kumgeuka Lowassa ilikuwa the biggest mistake in his life!!

Kitrndo cha yeye kushinda 2005 licha figisu zote ndo ulikua mwanzo wa kuwa most influential ktk nchi hii... ndo hivyo tena kiendacho kwa mganga hakirudi....

I can understand his resentment of Lowassa, lakini as mfalme then, he should have more options zaidi ya Membe
In the end akili yake ya anyone but Lowassa meant we got Uncle Magu and the rest is history.
 
Theories of doom!!!
Hakuna formulae yoyote ya kuzidiana Kikwete Na Mkapa.
Nguvu ya opposition, factions katika nomination Lowassa followers Vs Kikwete followers. Lowasa Na followers wake, strong faction ilimzidi muuza sura baada ya lowasa kukaa tea jina full stop!!
 
I can understand his resentment of Lowassa, lakini as mfalme then, he should have more options zaidi ya Membe
In the end akili yake ya anyone but Lowassa meant we got Uncle Magu and the rest is history.
Kwa namna yoyote ile, mtu pekee aliyekuwa nwaminifu kwake ni EL, wangeweza hata kukubaliana nani wamwachie ili wabaki kuwa most influential... walishashika system ya nchi yaani walimaliza pambano!! Ndo vile tena Mswahili ni mswahili and the rest is history!!
 
Theories of doom!!!
Hakuna formulae yoyote ya kuzidiana Kikwete Na Mkapa.
Nguvu ya opposition, factions katika nomination Lowassa followers Vs Kikwete followers. Lowasa Na followers wake, strong faction ilimzidi muuza sura baada ya lowasa kukaa tea jina full stop!!
But ingekuwaje kama JK and EL wangekua na lugha moja?
 
Hawamsemi msemi mkuu. Mjadala ni jinsi.Kikwete with all powers, channels and facilities ameshindwa ku make the strong and influential family in the country!!

The failure of the century!!

Wanaolalamika kuwa Magu katokea wapi wameshindwa kuelewa kuwa we are paying the price of Kikwete being shortsighted

Kiongozi umekaa madarakani for 10 years halafu huna hata succession planning na legacy?

Tazama kwao Pwani kulivyo let alone huko Bagamoyo...
 
Hawamsemi msemi mkuu. Mjadala ni jinsi.Kikwete with all powers, channels and facilities ameshindwa ku make the strong and influential family in the country!!

The failure of the century!!
Muwage mna aibu kipindi yupo rais mmeisema sana familia yake na kumpa utajiri wa kutisha Rizone kwamba sheli zote zake mala kakamatwa China mmepiga sana kelele kuhusu familia yake sasa hivi familia hamuisikii mnaanza kumuona failure nyie watu wa hovyo sana aseee.
 
Wanaolalamika kuwa Magu katokea wapi wameshindwa kuelewa kuwa we are paying the price of Kikwete being shortsighted

Kiongozi umekaa madarakani for 10 years halafu huna hata succession planning na legacy?

Tazama kwao Pwani kulivyo let alone huko Bagamoyo...
Aisee Msoga inasikitisha!! Hata maji shida...

Angalia chato!!! 9 months Airport 5 years?

To hell!!
 
Muwage mna aibu kipindi yupo rais mmeisema sana familia yake na kumpa utajiri wa kutisha Rizone kwamba sheli zote zake mala kakamatwa China mmepiga sana kelele kuhusu familia yake sasa hivi familia hamuisikii mnaanza kumuona failure nyie watu wa hovyo sana aseee.
Kwani nani kasema haisikii? Unaelewa concept lskini?

With all powers, business channels, personnel na uchafu wote wa kufadhili wakwepa kodi leo ameshindwa kuwa na strong family in the country?

Family ya kutumwa tumwa? Nimepita msoga kunatia huruma!! Cheki Chato kunajengwa airport!!
 
Maadili ya familia ni foundational. Ikulu siyo shule.

Hawa watoto si ndio waliokuwa na ujaisri wa kutukana watu kwenye You Tube kwamba wao ndio Tanzania na mtu akiwa kinyume nao watampiga na kumdhalilisha? Hakuna mtoto aliyezaliwa kwenye familia yenye uadilifu anaweza kua na tabia za kishenzi namna ilie, vinginevyo ni mgonjwa wa akilli.

Huyu mama umempamba sijui ka kitu gani unachokifahamu juu yake.
BTW, wewe unaweza kuwa na impact report ya WaMA tushirikishane? Sitakikwenda kule.
Hawezi kuwa na ndoto za kuendeleza elimu wakati yeye mwenyewe hajui thamani ya elimu.
Hivi ka miaka yote tangu mme wake aanze kuwa waziri, kwa nini hajasoma? Halafu leo useme anaendeleza elimu? Elimu ya nani? Elimu gani kwanza unayoisema kwa kuanzia labda?

JK hakuwa na sifa za kuwa raisi wa nchi ila ni kwa sababu ya ushabiki usio na elimu. Nani ambaye hakujua kwamba alikua raisi wa kipindi kimoja?

ELIMU ELIMU ELIMU. LA PILI ELIMU ELIMU ELIMU. LA TATU ELIMU ELIMU ELIMU.
 
Mkuu Mr. Trotsky, I have just some two observations kwenye bandiko lako hili.

1. On Mkapa, kitendo cha kusema it's now 20 years tangu amalize his era!, sorry you are wrong!. It is now just 11 years toka Mkapa amalize his era and not 20!.

2. On succession plan: The choice of Magufuli sio Mkapa's plan. Magufuli ni chaguo la watu wanaoitwa Wazee fulani wa mahala fulani ambao ndio waliomtengeneza Nyerere, waliomtengeneza Mkapa, na ndio waliomtengeneza Magufuli! .Kwenye lineup ya wazee hao, majina ya Membe, Pinda na Prof. Tibaijuka pia yalikuwepo ila vetting yao ikayachuja, JK akamchagua Membe, ndipo hao wazee wakamtumia Mkapa kuhakikisha ni Magufuli, hivyo Mkapa alikuwa akitii tuu maagizo na kufacilitate kwenye vikao vya chama!, lakini siye mwenye chaguo, wanaosubiri Tanzania irejee kwenye OIC na kuanzisha mahakama ya Kadhi, watasubiri sana! .

Ili kujua Magufuli alitokea wapi na kwa nini ni yeye, nenda kasome bandiko hili uangalie lilibandikwa lini humu JF.

Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Pasco
 
Making ipi sasa hapo? Unamaanisha yule wa Division Fulani hivi amazing, aliyesoma degree wakati hastahili hata diploma? Amabaye jina lake ukiliandika hapa JF utaambulia nyota nyota? Au house in the making ipi hapo?
 
Back
Top Bottom