sababu zilivoanzisha vurugu katika kijiji cha Ndago jimbo la Iramba magharibi mkoani Singida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sababu zilivoanzisha vurugu katika kijiji cha Ndago jimbo la Iramba magharibi mkoani Singida

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by S2dak_Jr, Jul 16, 2012.

 1. S2dak_Jr

  S2dak_Jr Senior Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asubuhi naamka na kwenda kazini na kukuta Hiace inayomilikiwa na mtu anayeitwa California ikiwa imepaki.

  Mara naona vijana wanaofanya kazi katika shimo la dhahabu la mtu aitwaye Omary wakielekea kwenye Hiace hiyo na kupanda.

  Niliposogea, niliona vijana hao wakiwa wanavuta Bangi huku wakiwa wamewasha udi.

  Mara gari liliondoka na lilipofika Misigiri likapaki kwenye Bar/Grocery moja iitwayo Manka. Hapa vijana walianza kunywa pombe aina ya Konyagi. Na baada ya muda gari liliondoka na kuelekea Ndago.

  MAHUSIANO YA WACHIMBAJI HAO NA MH. MWIGULU.

  Itakumbukwa kuwa eneo la Mgodi wa Mgongo/Sekenke lilikuwa na mgogoro kati ya wachimbaji hao na mtu mmoja anayeitwa John Binna. Huu mgogoro ulirushwa kwenye Media mbalimbali ikiwemo TBC kama mtakumbuka.

  Mgogoro huu uliingiliwa Mh. Mwigulu na kuamuru Mgodi hao wa dhahabu uchimbwe na WAPIGA KURA WAKE.

  Hivyo hata leo Mh. Mwigulu akija na kuwaambia twendeni Ndago mkafanye fujo, sidhani kama wachimbaji watakataa.

  Punde nitawaletea picha za gari, eneo lao la kazi, vijana na Bar waliyokuwa wanakunywa Konyagi.

  Source: nilikuwepo eneo la mgodini.  UPDATES NEWS FROM Mkuu T.2015.CDM

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. blackberry m

  blackberry m JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 542
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 80
  Halafu wanasema kuwa Chadema ndiyo wameleta fujo. Aibu na iwe juu yao milele.
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  message pending. fanya mpango uiachie tupate ujumbe kamili
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Mmeua badala ya kutubu kwa muumba wenu mnaendesha kampeni ya umbeya. Damu ya Ndago haitafutika kwa kuongeza dhambi.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,292
  Likes Received: 22,068
  Trophy Points: 280
  How come Chadema ilete fujo kwenye mkutano wao wenyewe?
   
 6. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,570
  Trophy Points: 280
  Kweli haishindwi KAMWE! Marekani pamoja na mamia ya Intelligence agencies na technology ya kutisha dunia nzima lakini issue ya Irak iliwaumbua! KWELI NI KWELI TU!
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hawa ccm ni janga kubwa sana kwa Taifa letu,lakini mwisho wao utakuwa mbaya sana
  Tumwombeni MUNGU atuepushe na mambo ya fujo wanayotaka kuanzisha maana hata fujo yenyewe hawataiweza tu ila wanatapatapa tu.

  Wafuatilie kwa makini na usisite ku2juza wanachotaka kufanya!
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  mwingulu tangia jana unajitetea tu humu kwa kugeuza tuhuma.

  Hivi mwenyekiti wa vijiana ccm kwenye mkutano wa cdm alifuata nini?

  Kwa nini unapanga fujo kwenye mikutano ya wenzio, huo ni udhaifu na hofu ya kutojiamini.

  Mchumi daraja la kwanza anaye amini kwenye fujo na umwagaji damu na hii laana itakutesa.
   
 9. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  sijafanikiwa kuona anapojitetea au kutoa shutuma, mkuu tafadhali ukiona uzi wa mwigulu uni-tag nimrushie makombora.
  Anachofanya mwigulu ni kuwaaminisha wananchi kuwa upinzani ni kosa!

  Hajifunzi kwa Bernad Membe!!! Aliyekula na kunywa pamoja na wanasiasa wenzake kutoka chama cha chadema pale walipokwenda kufanya siasa si tu jimboni bali kijini kwake kabisaaa!!!!? Pale Mtama.
  Inabidi hatua za haraka zichukuliwe dhidi ya mwigulu asiendelee kuambukiza akili za kizezeta kwenye taasisi zetu za serikali.
  Analidhalilisha jeshi la polisi.
   
 10. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Uliyeua ni wewe uliyewatuma kufanya fujo! Damu hiyo itakutafuna tu! Shame on you!
   
 11. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,789
  Likes Received: 1,041
  Trophy Points: 280
  tunasikia walimfukuza mpaka ndani ya nyumba, kuua kwa kukusudia. Kwani yeye kuwepo kwenye mkutano wa chadema ni dhambi!
   
 12. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  yaani inawezekanaje uandae mkutano halafu uuwe watu mbele ya police? nisaidie sababu ambazo utaweza kunishawishi kwamba wewe unataka kuowa halafu unawaaika upande wa ukweni then unamuuwa mjomba je utowa huyo mke?

  ukweli utakuja tu kama wa kova mambo yako wazi sasa mkenya ni kichaa
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mhhh! itakuwa ngumu kuwaaminisha akina Burn Karudi, Ritz, masopakyindi, Tume ya Katiba, MAFILILI, Mwigulu LM Nchemba.
  hebu iweke hii taarifa yako kama ushahidi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,983
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ok, kumbe ndio maana viongozi wa cdm mliamuru kuua na washabiki wenu wakatekeleza hvy kwa ushahidi wako2 ninyi cdm ndy wauwaji.
  u
   
 15. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Na hayo ndio malengo makuu ya Mwigulu na CCM kwa ujumla kusababisha mauaji ili CDM ichafuke mbele ya umma ila tambueni kuwa siku zenu zinahesabika .
   
 16. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  si dhambi ila kuwepo na kufanya vurugu ndo dhambi
   
 17. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Ww kweli siasa huzijui, ndio wafanyavyo siku zote kwani wanahamasishwa kufanya fujo na viongozi wao
   
 18. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  kigumu CHAMA CHAMA CHA MAPINDUZI!!!!
   
 19. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hukumu ya wauaji wa CDM ni wao pia kuuwawa, kwani CDM wameishafanya mauaji mengi sana , sasa uvumilivu basiiii

   
 20. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Inatakiwa wampeleke Kova na yule Askofu ili wakafanye intelijensia wamkamate muuaji!!!
   
Loading...