Kifai
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 816
- 174
Nimekuwa mfuatiliaji sana kuhusu huyu mzee Ndesamburo mbunge wa Moshi Mjini kwa tiketi ya chama cha demokarasia na maendeleo, kutoka na hali yake ya uzee sidhani kama mwaka 2015 ataweza kugombea tena, nichukue fursa hii kuuliza kuna jembe lingine hapo Moshi ambaye anaweza kuchukua nafasi ya Ndesa a.k.a Ndesa Pesa ili magamba CCM waendelee kuisoma number hapo kwa watoto wa kichaga?