kanga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 1,025
- 494
Mtu wanaccm waliyedai ni murobaini wa matatizo yao ndani ya chama imedhihirika kuwa ni garasa pengine kutokana na uzee, mazingira au kukosa kumbukumbu baada ya kuwa nje ya system zaidi ya miaka mitano kwa kudai ni Nchi ya chama kimoja cha siasa hivyo kuomba kutekeleza ilani zake za ccm.Kwa kauli na matendo ni dhahiri kuwa Mangula siyo tena asset kwa ccm bali ni big liability na pengine ni kama amepata sehemu ya kupumzikia tofauti na alivyokuwa kule njombe akilima viazi mbatata.Gazeti la Habari Leo bila hata kuhariri au kutokutjua athari ya kauli ya Mzee mstaafu Mangula wameripoti hivyo kuwa taifa letu ni la chama kimoja je akili zao waliweka rehani au chooni.?HabariLeo 21/2013
