Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
Kamanda wa CHADEMA Burton Gwakisa,ambaye alipokea onyo kali kwa ushiriki wake kama Masalia ndani ya BAVICHA na CHADEMA kwa ujumla amesema kuwa sasa anajielekeza katika ujenzi wa chama hasa katika mkoa wa Pwani kama nafasi yake ya kuondoa 'sumu' ya kuwa Masalia.
Nikizungumza naye muda mfupi uliopita,Kamanda Gwakisa amesema anajuta vya kutosha kuwa Masalia na sasa ni kupiga kazi kwa kwenda mbele ili akiimarishe chama. 'Masalia wasahau' alisema Kamanda Burton Gwakisa.
Kamanda Gwakisa alikuwepo Jumamosi katika Mkutano wa CHADEMA Mlandizi-Kibaha. Sasa,Gwakisa apewe nafasi aoneshe utii wake kwa CHADEMA..