Ndg James Mbatia ndani ya ITV sasa!

my web

JF-Expert Member
Dec 23, 2012
1,592
242
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi Mheshimiwa James Mbatia yupo ndani ya ITV katika kipindi cha Kipima Joto. Jamaa kawaida yupo makini sana na ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja.

Nawasilisha.
 
Ndio namalizia mapumziko ya Maulidi,Naangalia Kipimajoto ITV!Kiuwazi kabisa jinsi Rithe anavyojieleza kulingana nahoja inayoendelea inaonyesha wazi kabisa kuwa kama anamtazamo wakupambana na Mdee 2015 Kawe kupitia CDM ajipange mno!Tafadhali fuatilia kipindi nanivema kumfuatilia ktk harakati zake kisiasa bado kuwa ktk hatua ya Mdee.
 
Kiukweli Mbatia anaelewa mno,sijui Mtwara alitumwa nanani?Leo anaongea yake binafsi naona kaona kutumwa kutumikia ubunge kutamgharimu!
 
Ndio namalizia mapumziko ya Maulidi,Naangalia Kipimajoto ITV!Kiuwazi kabisa jinsi Rithe anavyojieleza kulingana nahoja inayoendelea inaonyesha wazi kabisa kuwa kama anamtazamo wakupambana na Mdee 2015 Kawe kupitia CDM ajipange mno!Tafadhali fuatilia kipindi nanivema kumfuatilia ktk harakati zake kisiasa bado kuwa ktk hatua ya Mdee.

Bongo fitna
 
Bongo fitna

Mkuu fitina kwanani?Mimi nimekuwa nikifuatilia hoja mbalimbali hapa zakumchafua Rithe zingine zakumsafisha nahata wengine wamekuwa wazi kuwa kunavita yachini kwachini kati yake na Mh Mdee lengo ni 2015!Leo nimefanikiwa kumuona live kipimajoto ITV,Mziki wa Bungeni bado ........!Tuwe wawazi!
 
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi Mheshimiwa James Mbatia yupo ndani ya ITV katika kipindi cha Kipima Joto. Jamaa kawaida yupo makini sana na ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja.

Nawasilisha.

hahahaaa... umenikumbusha lile sakata lako la kuiba simu

Mr. Webb, naona unajivuta kuhamia NCCR baada ya kubumbukuliwa kuwa ni masalia

I DONT THINK THERE IS ANY SERIOUS TANZANIAN WHO WOULD WASTE TIME TO LISTEN TO THIS MORPHO
 
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi Mheshimiwa James Mbatia yupo ndani ya ITV katika kipindi cha Kipima Joto. Jamaa kawaida yupo makini sana na ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja.

Nawasilisha.

Hivi ITV ina streaming video online? Sisi tuliopo nje uhondo unatupita.
 
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi Mheshimiwa James Mbatia yupo ndani ya ITV katika kipindi cha Kipima Joto. Jamaa kawaida yupo makini sana na ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja.

Nawasilisha.
msubiri mlangoni umpore simu yake Kama kawaida yako
 
Back
Top Bottom