Sijutii kuwa Mtanzania.

Sijutii kuwa Mtanzania.

Joined
Jul 6, 2012
Posts
44
Reaction score
8
Mi ni mtanzania wala sijutii kuwa mtanzania na namshukuru Mungu kwa hilo lakini najuta kuwa na uongozi mbovu na usiojali maslahi ya umma kama huu na kujijali wao na familia zao.
we need changes!!.
 
be part of that change you dream then! jiunge na sisi wengine wenzako wanaoyapigania mabadiliko! Welcome on board kamanda!
 
Mi si mshabiki wa chama chochote lakini napenda mabadiliko yenye tija kuanzia elimu mpaka maisha ya kawaida najuta kuongozwa na mbulula

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mi ni mtanzania wala sijutii kuwa mtanzania na namshukuru Mungu kwa hilo lakini najuta kuwa na uongozi mbovu na usiojali maslahi ya umma kama huu na kujijali wao na familia zao.
we need changes!!.
kwani wewe unatimiza wajibu wako siyo kulaumu tu kwamba umezaliwa tanzania
 
Mi si mshabiki wa chama chochote lakini napenda mabadiliko yenye tija kuanzia elimu mpaka maisha ya kawaida najuta kuongozwa na mbulula

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

lazima ujute kuwa na viongozi wasiojitambua
 
Back
Top Bottom