Mheshimiwa Rais, haya ndio matunda ya 'Divide and Rule'!

Moneyowner

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,422
Reaction score
1,254
Kwa sasa taifa lilipofika sidhani kama watu watakuwa wakifikiria utaifa mbali na maslahi binafsi kulingana makundi kama vile dini, ukanda, ukabila, wenye pesa, mafisadi,wafanyabiashara,wasomi na walalahoi
nimejaribu kutaja makundi mache tu ambayo mpaka sasa hakuna mshikamano hata kidogo. saivi kilakundi linafikiria ni namna gani linaweaza kujikwamua

Mheshimiwa amekuwa akionesha waziwazi kupendelea;baadhi ya makundi;fulani ,vile kutufanya tusielewane hata kidogo.kimsingi hakuna jambo ambalo kwa sasa watanzania linatuunganisha kwa pamoja kama taifa. na yote haya ni ufisadi uliopitiliza kiwango akiwemo muheshimiwa na ndugu zake

Ebu tutafakarini; mafisadi wangapi waliokamatwa na shutuma za wizi wa fedha zaumma ;kama vile kuuza pembe za ndovu, twiga mikataba ya kipuuzi. eti adahabu ni kuwanyanganya nyadhifa jamani ulofa huu. kinachotokea mtwara watu walishachoshwa na danganya toto kama mnavyowaachia mashimo Shinyanga, Geita na Mara
wasiwasi wangu ni kuwa tutakuja tusimame kweli kama taifa au ndo tumeparanganyika jumla?
Nani atatuunganisha?
 
Ni Mungu peke yake, zaidi ya hapo sioni mwingine labda tufanye uchaguzi sasa na tupate Rais leo mpya tofauti na mkwe.re
 
Our Democracy is the illusion we are given to pacify us. Our rulers will break all the rules to stop us from getting out of hand
 
Its you and me who are to change the way things are managed. Stop complaining seat down think wisely, share your ideas with others, who knows your wise ideas might workup majority who are still in deep sleep waiting for God to emancipate our beatiful dying nation. You have no reason to seat down and lament everyday that this or that is not doing good, you have all the reason to speak out with confidence no matter what it will cost you.
 
Kwa sasa taifa lilipofika sidhani kama watu watakuwa wakifikiria utaifa mbali na maslahi binafsi kulingana makundi kama vile dini, ukanda, ukabila, wenye pesa, mafisadi,wafanyabiashara,wasomi na walalahoi
nimejaribu kutaja makundi mache tu ambayo mpaka sasa hakuna mshikamano hata kidogo. saivi kilakundi linafikiria ni namna gani linaweaza kujikwamua

Mheshimiwa amekuwa akionesha waziwazi kupendelea;baadhi ya makundi;fulani ,vile kutufanya tusielewane hata kidogo.kimsingi hakuna jambo ambalo kwa sasa watanzania linatuunganisha kwa pamoja kama taifa. na yote haya ni ufisadi uliopitiliza kiwango akiwemo muheshimiwa na ndugu zake

Ebu tutafakarini; mafisadi wangapi waliokamatwa na shutuma za wizi wa fedha zaumma ;kama vile kuuza pembe za ndovu, twiga mikataba ya kipuuzi. eti adahabu ni kuwanyanganya nyadhifa jamani ulofa huu. kinachotokea mtwara watu walishachoshwa na danganya toto kama mnavyowaachia mashimo Shinyanga, Geita na Mara
wasiwasi wangu ni kuwa tutakuja tusimame kweli kama taifa au ndo tumeparanganyika jumla?
Nani atatuunganisha?
kagasheki style ya kuunganisha wana bkb mujini
 
Let us spark out national referendum first within jamii forum then making a tour countrywide preaching national integrity and stability instead of relying to that president.
 
Mmemtusi Nyerere na kuyaacha mausia yake, Laana ya Mzazi haina dawa, bali kuyafuata tena mausia yake. Amani huleta vita, ili vita virudishe amani. Kikwe.te ni bomu linalolipuka, tumuepuke
 
Acha kwanza wananchi watoe elimu wanataka waongozwaje ukiwazui hutajua vizuri shida zao ngoja waue au wauawe na mwisho heshima itarudi tu maana inaonekana watu wanaomba urais kwa fasheni na mawaziri wanapewa vijiwe vya kuibia bila kutafuta kujua nini maana uwajibikaji kwa umma sasa ngoja umma uchukue jukumu lake
 
Its you and me who are to change the way things are managed. Stop complaining seat down think wisely, share your ideas with others, who knows your wise ideas might workup majority who are still in deep sleep waiting for God to emancipate our beatiful dying nation. You have no reason to seat down and lament everyday that this or that is not doing good, you have all the reason to speak out with confidence no matter what it will cost you.

i think this is what is takin place, thnking, sharing ideas n spkin out...au wewe waona kinachotokea sasa ni kipi?

mtu ana kitu chakusema then anakieleza, sasa namna za kueleza ndo zinatofautiana hata kwakulalamika tayari katushirikisha, then nasi twachangia nini kifanyike.

What is the other confidence u r askin than this of speakin out?
 
Tusubiri maamuzi magumu atakayoyafanya mwaka huu ambayo yataishangaza dunia na kukubaliwa na watu wote. NB : KWA MUJIBU WA MTOTO/MRITHI WA SHEIKH YAHYA HUSSEIN.
 
Wakati kwake moto unafukuta kwa chini chini yeye anaenda kwenye adventure badala ya kusuluhisha matatizo ya msingi ya nchi yake.
 
Hakuna cha maamuzi magumu wala nini.Huyo keshakatiwa fungu lake ndo maana katoa alilollitoa.

Back
Top Bottom