Picha: Kamanda Mawazo M4C lake zone

Picha: Kamanda Mawazo M4C lake zone

maguzu masese

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
283
Reaction score
141
Harakati za ukombozi,huitaji ujasiri na watu wenye uthubutu kama huyu kamanda.hongera kamanda alphonce mawazo,na kamanda husna,kwa kumuhamisha meya(matata),kusababisha kilio cha ccm muleba,kusababisha mangula azomewe mwanza.
 

Attachments

  • Picture 012.jpg
    Picture 012.jpg
    45.1 KB · Views: 370
  • Picture 119.jpg
    Picture 119.jpg
    371.9 KB · Views: 484
  • Picture 047.jpg
    Picture 047.jpg
    397.6 KB · Views: 868
  • Picture 060.jpg
    Picture 060.jpg
    456.9 KB · Views: 673
  • Picture 090.jpg
    Picture 090.jpg
    545.1 KB · Views: 526
  • Picture 066.jpg
    Picture 066.jpg
    390.9 KB · Views: 409
  • Picture 086.jpg
    Picture 086.jpg
    344.8 KB · Views: 357
  • Picture 027.jpg
    Picture 027.jpg
    32.2 KB · Views: 288
  • Picture 035.jpg
    Picture 035.jpg
    668.3 KB · Views: 576
  • Picture 021.jpg
    Picture 021.jpg
    392.3 KB · Views: 309
Huyu kamanda ni Noma, Kazi anayo fanya ni kubwa mno, na Magamba kanda ya Ziwa wanamfahamu vyema
 
huyu jamaa ni noumer. yeye huwa anapenda kupiga m4c poli kwa poli/vijijini. mjini ni mara chache sana. ni classmate wa g.rema na alikua diwani wa ccm rema akamvua gamba. tangia hapo halali. dah! jamaa jembe. mia
 
inabidi akiamua kupumzika wamlete dar angarau atie baraka makao makuu ya chadema. hapendi mijini mijini. sasa hivi huko mleba amekaa wiki tu lakini kawaliza vibaya mno. mia
 
Na kweli, amulinde dhidi ya mabwepande wa serikali maana wezi na wabaya sana hawa. Thanks kanda ya ziwa sasa itapona
 
Back
Top Bottom