Baada ya Ghasia zilizotokea hapa Masasi siku kadhaa zilizopita wameletwa askari polisi toka maeneo mbalimbali nchini ambao kwa kweli ni wengi wanakera sana.
Wanapiga mabomu na hovyo hovyo tu na...
Licha ya kuzuiliwa na polisi CCM kufanya mkutano na mapokezi, mbunge wa Arusha mjini kufanya mkutano jioni hii kwenye uwanja wa Baruti.
Kwa sasa magari ya yanapita mitaani yakitangaza juu ya...
Kuna wenzetu wamepoteza maisha katika kudai haki za
wanakusini kwa ujumla.
Nguvu ileile itumike kukusanya michango kama kifuta jasho ili kuzisaidia familia zao. Tukianzia na yule
shujaa wa...
USIPO KUWA NA UHURU WA KUJIELZA NI SAWA NA MFUNGWA WA NJE
Alipo pewa nafasi ya kujieleza Mwalimu JK Hatimaye Tanzania ikiwa Huru
Ni muhimu kuwapa watu nafasi za kujieleza
Chadema imezidi kudhihirisha kuwa ni chama makini chenye sera mujarabu kwa maendeleo ya nchi yetu! Sasa yaazimia kujipanga kimajimbo kuchukua dola! Yaazimia kupeleka nguvu ya kujenga chama kwenye...
Kumekuwa na malumbano yasiyo na tija kati ya CCM na CHADEMA huko Muganza kiasi cha kuathiri kwa kiwango kikubwa mstakabali wa maendeleo ya wanamuganza. Ilikuwaje?.....Mwaka 2010 kabla ya uchaguzi...
Huku wananchi wa kawaida wanaoishi maeneo ya Moshono hadi kilipo chuo kikuu cha Nelson Mandela mkoani Arusha, wakitaabika kwa vumbi jingi na barabara mbovu, imekuwa ni kawaida kwa Uongozi wa Mkoa...
Nimefuatilia kwa kiwango kikubwa sakata la Gesi Mkoani Mtwara na nimejifunza kuwa bado watawala wetu wanaendeleza matumizi ya hoja mfu na upotoshaji wa hali ya juu. Nafananisha majibu haya na yale...
Hii ni kwa wale wote wapenda mageuzi nchini, jimbo la iramba anakotoka mwigulu nchemba limekuwa na mambo mengi yanayo wasumbua watu wa iramba kama ifuatavyo; 1.wanachi wamedai kuchoshwa na...
Nape leo kawamaliza upinzani Kasulu na kaondoka uwanja wa tax mjini kasulu huku akisindikizwa na wananchi wakimshangilia kama shujaa...
Kamwagiza DC kumaliza tatizo la kutoka maji machafu mjini...
TAARIFA YA KUKITHIRI KWA UHABA WA DAWA ZA MALARIA NCHINI
1. UHABA WA ALu
Dawa muhimu za malaria zijulikanazo kama dawa mseto (ALu) zimeripotiwa kuadimika katika vituo vingi vya huduma za...
Wajuvi wa kupiga ramli hasa Mwita Maranya yule mkulima wa mboga na kipenzi chake kiongozi wa Masalia (mzee wa dawa za panya aliyeaga kwao) watujuze ni nini hasa KIZUNGUMKUTI CHA GESI.
Hivi kuna mtu anaweza ku predict JK akishaondoka in 2 years time hali itakuwaje na watu gani wataathirika positively au negatively?
Na legacy yake itakuwa ni nini?
Na je atakuwa ana rank gani...
Takribani kwa kipindi cha miezi miwili swala la ujenzi wa bomba kutoka Mtwara hadi Dar-es-Salaam kwa ajili ya kusafirisha gesi kumekuwa na upotoshaji wa kiwango cha kutisha.
Wanasiasa na...
Hii Radio huwa natafakari imeanzishwa kukashifu dini zingine au lengo lake hasa ni nini??
Leo Asubuhi nimesikia wakizungumzia mchakato wa katiba mpya. Jambo ambalo wamelipa kipaumbele katika...
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema baadhi ya makada wa chama hicho, ni mitambo ya kupika majungu hali ambayo inaendeleza makundi.
Kinana alisema hayo juzi wakati akizungumza na...
Habari Ndugu.
Mbunge wa Iramba yupo Kiomboi kuanzia jana. Na katika kile kinachoonekana kuchokwa na vijana walio wengi, anajaribu kila njia ili kurudisha imani kwa vijana hao.
Kwa kuanzia...
Chama cha Mapinduzi kimerejesha imani kwa wananchi wa wilaya ya Uvinza kwa kasi ya ajabu. Wananchi wa Uvinza wamefurahishwa na ujenzi wa daraja la Malagarasi na shughuli mbalimbali za maendeleo...
GreatThinkers,
Kimya kingi kina mshindo.
Hakika Mtwara kuna jambo zito, tena gumu kwa uongozi huu usiojali.
Wananchi kumbe walikuwa washaambiwa itafuata Mtwara Corridor(Special Economic Zone)...
Wakati wa sakata la kuandikwa kwa katiba mpya, viongozi wandamizi wakubwa kabisa serikalini walipinga sana wakisema hakuna haja ya kuandika katiba mpya hii ya sasa inakidhi au inatosha. Hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.