Your current main political concern as a Tanzanian?

Your current main political concern as a Tanzanian?

step

Senior Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
190
Reaction score
75
Ndg wana JF
Hakika jukwaa hili lina elimisha kwa kweli, ila kwa kipindi hiki kumekuwa na vugu vugu kubwa la kupost new topics na mbaya zaidi kulikuwa na thread humu ya kuwataka wanachama wa chama fulani wajiunge kwa wingi na kupost topics. Kidogo linanipa wasiwasi as I see the current quality of posts in the forum. Nimejiuliza kama mtanzania what is my main political concern at the moment? ni mambo gani yanayoweza kunisukuma kuandika au kusoma katika forum hii?
1.Mgawanyo wa rasilimali za Taifa
2. Ombwe la uongozi wa kisiasa
3. Dhuruma na ukandamizaji kwa jamii
4. Katiba mpya
5. Au kushindana kupotosha uma wa Tanzania

Mimi kwangu ninasukumwa kufungua forum na hayo mambo manne wewe je nini kinakusukuma?
 
Back
Top Bottom