Hotuba ya rais KIKWETE 31.01.2013 imebeba ujumbe gani kwa watz!!?

Chimemena

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,376
452
Wanajf leo ni mwisho wa mwezi, kama ilivyo desturi raisi huwa anahutubia wananchi wake kupitia media mbalimbali, swali la kujiuliza hapa hutuba hyo itakuwa na ujumbe gani wa msingi kwetu sisi watanzania, au itatawaliwa na kejeri na ahadi kibao kama ilivyozoeleka.
Kuna mambo mengi yamejitokeza nchini tangu mwaka huu uanze yakijadiriwa na sisi wananchi ama kupitia vyombo vya habari.
Mfano:
1. Mgawanyo wa raslimali ya taifa (gesi ya mtwara).
2. Mvutano wa udini unaoendelea (ukristo vs uislamu).
3. Mwende
 
4. Ahadi yake kwa watoto wa wakulima ambao ndio wapiga kura kua mapema january watapata walimu wapya mashuleni hivyo kupunguza makali ya upungufu mkubwa wa walimu uliopo mashuleni.
 
4. Ahadi yake kwa watoto wa wakulima ambao ndio wapiga kura kua mapema january watapata walimu wapya mashuleni hivyo kupunguza makali ya upungufu mkubwa wa walimu uliopo mashuleni.

Mkuu January ndo imeisha hivyo.... au January ya mwaka 2014?
 
Hotuba itawapongeza wakazi wa Mtwara kwa kuwa waelevu baada ya kufafanuliwa undani wa mradi wa gesi.

Itatoa taarifa kuhusu safari ya Rais Davos.

Itakumbusha masuala mbalimbali ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM.
 
Heheheeee....eti nimeota Raisi kajinyonga kwa shuka na kuacha kikaratasi kinachosomeka '' Nilidhani mnatania kumbe mmedhamiria "qwiqwiqwiiii......

mtoa mada wacha kumkusanyia maoni humu bhana we wacha ajiongezee CV zake zakijuha aisee...lol.
 
3. Mwendelezo wa mchakato wa katiba mpya.
4. Wizi wa nyara za serikali (pembe za ndovu).
5. Ajali za barabarani zinazomaliza roho za watz.
6. Mauaji ya kutisha yanayofanywa na police na wananchi sehemu tofauti.
7. Vuguvugu la mabadiliko linalofanywa na vyama vya vya upinzani (chadema) na hatma ya chama tawala.
8. Kukua kwa uchumi na pato la taifa huku maisha ya watz yakiendelea kuwa magumu.
9. Mengineyo........!!
 
Ndugu watanzania wenzagu. Mwanahalisi ni wachochezi sana, sitawafungulia.
 
Kikwete ni mtu muungwana sana, pamoja na kuwa mnamtukana sana lakini anaendelea kupambana mpate maendeleo
 
3. Mwendelezo wa mchakato wa katiba mpya.
4. Wizi wa nyara za serikali (pembe za ndovu).
5. Ajali za barabarani zinazomaliza roho za watz.
6. Mauaji ya kutisha yanayofanywa na police na wananchi sehemu tofauti.
7. Vuguvugu la mabadiliko linalofanywa na vyama vya vya upinzani (chadema) na hatma ya chama tawala.
8. Kukua kwa uchumi na pato la taifa huku maisha ya watz yakiendelea kuwa magumu.
9. Mengineyo........!!

hoja za magafu wa bavicha mwanza,kisandu tanga,mwampamba na shonza wa bavicha taifa. Pia suala la kumpora mke wa mtu na kumfanya mchumba uzeeni
 
Back
Top Bottom