MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 887
Jambo la Ajabu sana, CCM wilaya ya Urambo Ijumaa ya wiki iliyopita walikwenda Urambo Day Secondary eti kuongea na walimu na wanafunzi, Hongera walimu wa hiyo shule kwa kuondoka zao kwenda kwenye shughuli zao magamba yakabaki na mwenyekiti wa bodi ya shule na wanafunzi wa bweni wa kike, Nyie Magamba ebu acheni watoto wa wa taifa hili kuwalisha ujinga na upuuzi wenu, nchi ishawashinda subirini kutimuliwa 2015 wauaji nyie.