MB.nyerere atimiza sehemu ya ahadizake.

mwenezi

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
506
108
moja ya ahadi za mhe.nyerere kwa wapigakurawake ilikuwa ni kuweka tv katika maeneo kadhaa yenye mikusanyiko yawatu,kwa lengo lakuwawezesha kuona matukio mhimu yanayoendelea hasa bunge,pamoja na kuwapunguzia (stress)wawapo kwenye shughuli zao.hizi hapa ni picha zinazo onyesha maandalizi ya ufungaji watv hizo.mb alishakabidhi tv hizo kwa halmashauli mbele ya wafanya biashara wa sokoni.hongera nyerere.
 

Attachments

  • IMG00022.jpg
    IMG00022.jpg
    23.7 KB · Views: 84
  • IMG00021.jpg
    IMG00021.jpg
    22.2 KB · Views: 68
  • IMG00018.jpg
    IMG00018.jpg
    21.4 KB · Views: 63
Back
Top Bottom