Sasa wewe usipotetea wateja wako unataka wateja wajitetee wenyewe?Hii case nineshindwa kuielewa kabisaa...yaani wanaotetea saana ni wamiliki wa mabus,ma agent na madalali wao ila nashangaa abiria wenyewe ambao ndio wahusika mbona hawalalamiki saana kam hao wahusika wenyewe au Mimi ndo nashindwa kuelewa
Hata shekilango,mbagala bodaboda wapo na daladal sio lazima wa stendi ya magufuli tuEti boda boda apate abiria, anajua bajeti yetu.
Hata wateja wakijitete Bado mtawadharau. Bora wamiliki waingilie kati.Hii case nineshindwa kuielewa kabisaa...yaani wanaotetea saana ni wamiliki wa mabus,ma agent na madalali wao ila nashangaa abiria wenyewe ambao ndio wahusika mbona hawalalamiki saana kam hao wahusika wenyewe au Mimi ndo nashindwa kuelewa
Huyo RC ana akili finyu. Kwa hivyo stendi iliweka kwa ajiri ya bodaboda au abiria?Eti boda boda apate abiria, anajua bajeti yetu.