Mama Anne Kilango na Ajira za Emirates

Mama Anne Kilango na Ajira za Emirates

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
​Bungeni patamu!

Muda mfupi uliopita mama Anne Kilango amemaliza kuchangia hoja ya jinsi gani vijana wasaidiwe kupata ajira. Kama kawaida yake ameirarua serikali.Amesema kuna siku amesafiri na ndege ya shirika la Emirates, mle ndani alikutana na mfanyakazi mtanzania anaitwa Felister.

Mama Anne Kilango alimdadisi yule dada hadi akamwambia kati ya wafanyakazi 15,000 wa shirika lile wapo watanzania 9, wakenya 800, sababu ni kuwa wakenya nafasi zikitoka serikali yao inaintervene kuwatafutia vijana wake. Mama Kilango anasema huo ni uzembe wa serikali yetu.

Mara palepale mbunge MACHALI akaomba kutoa taarifa na bahati mbaya naibu spika akamruhusu, Machali akampa taarifa mama Kilango kuwa "Kenya wamefikia pale kwa sababu walifanikiwa kukiondoa chama tawala madarakani".

Majibu ya mama Kilango yalikuwa ya aibu maana kwa kujivuta na ile sauti yake ya mkwara akasema."Taarifa hiyo naifuta na wala sitaki kuisikia"
 
Mama ANne alitaka tu kuonyesha watu anavyojua kutafuna kodi ya wananchi kwa kusafiria FIRST CLASS kwa safari zake za kawaida.
Nchi italiwa na wenye meno.
 
Anne Kilango anailalamikia Emirates kuwapa ajira Watanzania. Ajira zenyewe za Tanzania zinatolewa kwa udini.
 
uko sahihi mkuu Ritz.. Serikali hii ajira zinatoka ki dini zaidi cheki udom....
 
Yar ni kweli Mkuu Ritz,hasa pale NSSF kwa Ndg Ramadhan Dau na Universty Of Dodoma(UDOM).

Mkuu nenda TRA bila kuwa mchanga mkiristo upati kazi. Nenda bandarini bila kuwa mkiristo upati kazi. Nenda wizara ya elimu bila kuwa mkiristo hakuna kazi.
 
Na pale kwa SSB ndio balaa.

Hivi serikali kati ya wakiristo na waislam dini gani wamejaa serikalini kama siyo wakiristo ufisadi kila kona.
 
unaona kama wakristo wamejaa kwa kuwa wakristo wapo wengi zaidi ya waislamu..ila si hivyo tu bali wakristo wengi wamesoma elimu dunia inayowafanya waajiriwe ukilinganisha na elimu ahela ya waislamu ambao ajira zake ni msikitini tu... halafu serikali ya awamu ya nne viongozi wakubwa wengi wa taasisi kubwa tz ni waislamu ndo wamekamatilia..ama wabisha?? chek safu ya wakuu wa nchi hii na majirani wetu zenj.
 
Exactly; tumeiga mfumo wa Somalia ambako wakristo serikalini ni 99.9999% na uchumi unapaa. Nasikia hivi karibuni wanategema kurusha vyombo 50 vya utafiti anga za mbali; tutaenda kujifunza kwao namna ya kukuza uchumi wetu na pia namna ya kuchinja mifugo yetu.
 
Hivi serikali kati ya wakiristo na waislam dini gani wamejaa serikalini kama siyo wakiristo ufisadi kila kona.

nilishangaa niliposoma comment yako ya kwanza nikajua siku hz unajitambua kumbe.........
 
​Bungeni patamu!

Muda mfupi uliopita mama Anne Kilango amemaliza kuchangia hoja ya jinsi gani vijana wasaidiwe kupata ajira. Kama kawaida yake ameirarua serikali.Amesema kuna siku amesafiri na ndege ya shirika la Emirates, mle ndani alikutana na mfanyakazi mtanzania anaitwa Felister.

Mama Anne Kilango alimdadisi yule dada hadi akamwambia kati ya wafanyakazi 15,000 wa shirika lile wapo watanzania 9, wakenya 800, sababu ni kuwa wakenya nafasi zikitoka serikali yao inaintervene kuwatafutia vijana wake. Mama Kilango anasema huo ni uzembe wa serikali yetu.

Mara palepale mbunge MACHALI akaomba kutoa taarifa na bahati mbaya naibu spika akamruhusu, Machali akampa taarifa mama Kilango kuwa "Kenya wamefikia pale kwa sababu walifanikiwa kukiondoa chama tawala madarakani".

Majibu ya mama Kilango yalikuwa ya aibu maana kwa kujivuta na ile sauti yake ya mkwara akasema."Taarifa hiyo naifuta na wala sitaki kuisikia"

Alikwepa kuongea baada ya John Mnyika kuongea
 
Last edited by a moderator:
unaona kama wakristo wamejaa kwa kuwa wakristo wapo wengi zaidi ya waislamu..ila si hivyo tu bali wakristo wengi wamesoma elimu dunia inayowafanya waajiriwe ukilinganisha na elimu ahela ya waislamu ambao ajira zake ni msikitini tu... halafu serikali ya awamu ya nne viongozi wakubwa wengi wa taasisi kubwa tz ni waislamu ndo wamekamatilia..ama wabisha?? chek safu ya wakuu wa nchi hii na majirani wetu zenj.

Mgekuwa mmesoma nchi ingekuwa masikini kazi yenu kuiba tu na kufisadi nchi. Juzi mmefukuzwa bandarini.
 
angalia data kati ya utawala wa A ama utawala wa B ni upi nchi imeendelea..sote tunajua hili.. ukiingia utawala B tunakuwa kwenye miaka ya maangamizi ukirudi A tunakuwa kwenye miaka kumi ya nehema.. ama unabisha mkuu... najua kimoyo moyo unasema ila kijana anapoint za ukweli, japo hutaki kubali
 
Ulikuwepo wakati wa Nyerere?
 
Linganisha utawala wa Nyerere na wa Mwinyi! Kipindi cha haambiliki kulikuwa na njaa, foleni za mikate, watu kuvaa ngozi na matairi na wengine kutembea uchi! haya Kipindi cha Mzee Ruksa, neema, uchumi kukua, chakula kibao na hata Mungu kutuondolea njaa na kutuletea mvua za kutosha! hata Chadema kilisajiliwa kipindi hiki cha Mzee Ruksa ndo maana leo mna ubavu wa kuongea na kuandamana! jee, mngeweza kufunua domo lenu kipindi cha Mzee haambiliki?
 
Mada inazungumzia ajira na haijataja DINI yoyote wala haijataja CHAMA chochote cha siasa..... Tujikite kujadili mada wakuu
 
Back
Top Bottom