maadili kwa wabunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maadili kwa wabunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Andrew Nyerere, Dec 11, 2008.

 1. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #1
  Dec 11, 2008
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Tunalo tatizo hapa Tanzania kwamba kwa vile wapo watu wanawaua albino,kwa kutaka kutajirika,basi inadhaniwa kwamba Watanzania wote ni mafisadi. Haikumbukwi kwamba Watanzania walio wengi,hawataki kufanya hayo mambo ambayo siyo ya kistaarabu. Maadili ya Kitanzania,kwa watu wengi,ni maadili ya Dini,kila mtu na dini yake,kama ni Mkristo,au Mwislamu. Kwangu mimi,ni maadili ya Kanisa Katoliki. Na,mimi nitamsikilza mtu anayetaka kuwania Ubunge,kama maneno anayozungumza,yanayo ladha ya Kikatoliki. Au,kama anaponiwakilisha Bungeni anapiga kura kufuatana na maadili ya Kikatoliki.
  Tumewasikia Wabunge wanataka kuhalalisha pombe haramu ya gongo,tunasikia mambo mengi ya ajabu katika Bunge. Watu walio wengi,ni watu wapenda amani. Haifai kuwasikia viongozi wetu wanaongea kama Italian Mafia.
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2013
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,555
  Likes Received: 18,244
  Trophy Points: 280
  Duh Mkuu Andrew, kumbe uliyazungumza haya zamani hivi?!.
  Pasco.
   
Loading...