TBC ni television ya Taifa au ya chama fulani?

Keynes

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
533
89
Ina tusikitisha sana kwa kuwa habari za bunge zimekuwa zikirushwa live kama hoja zilizopo ni za CCM ila kama mjadala umeletwa na chama kingine mtawekewa ngoma .....Mara oh mtambo wetu dodoma umeharibika. What nonsense is this?
 
kila hila inayofanywa na cm,inagundulika chamsingi hata wana ccm wenyewe wanajua linalofanywa na ccm ni hila hivyo 2015 hawatakubali hila iongoze nchi,hivyo hila zao ni mtaji wa chadema
 
kwa nini chadema tu mkuu? sio kila sehemu inakubalika, neno zuri ungetumia upinzani.
 
Yaani hapo ni sawa na kuuliza mku.ndu wa paka wakati umemshika mkia, ndio maana kinaitwa chama tawala kinatawala kila kitu.
 
Ina tusikitisha sana kwa kuwa habari za bunge zimekuwa zikirushwa live kama hoja zilizopo ni za CCM ila kama mjadala umeletwa na chama kingine mtawekewa ngoma .....Mara oh mtambo wetu dodoma umeharibika. What nonsense is this?

Hii Channel ilikuwa poa sana ilipokuwa chini ya Tido Mhando, ila sasa madudu matupu.
 
Suala kubwa ni kufanya "media boycott" nimekwishafanya na hii channel haiexist kwenye channels' list yangu!!!!
 
Hiyo TV ya chama mkuu,kilichomuondoa bwana EVANS kipindi kile ni kuruhusu Michakato jimbon wakubwa wakawa wanadhalilishwa na vijana wadoooogo!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Tatizo la TBC ni kuongozwa na kilaza ambaye pia ni ---- anayedhani bado nchi ipo kwenye mfumo wa chama kimoja.
 
Ina tusikitisha sana kwa kuwa habari za bunge zimekuwa zikirushwa live kama hoja zilizopo ni za CCM ila kama mjadala umeletwa na chama kingine mtawekewa ngoma .....Mara oh mtambo wetu dodoma umeharibika. What nonsense is this?

Hii ndo aina ya uongozi tulio nao dhaifu dhaifu dhaifu!
 
Ina tusikitisha sana kwa kuwa habari za bunge zimekuwa zikirushwa live kama hoja zilizopo ni za CCM ila kama mjadala umeletwa na chama kingine mtawekewa ngoma .....Mara oh mtambo wetu dodoma umeharibika. What nonsense is this?

we unaangaliaga tbc mkuu?
sema kama una kadi ya ccm tukufundishe jinsi ya kuaccess tbc na bunge unaangalia live bila chenga ukijifanya niaje niaje mtambo utaendelea mbovu hasa hoja nzito zinapowasilishwa na chadema
 
Back
Top Bottom