2 Qns on siasa zetu

2 Qns on siasa zetu

Shoo Gap

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
261
Reaction score
101
(1) Ni kwa namna gani(which measure) mimi/sisi kama raia tunaweza kumuunga mkono(support) Mbunge yeyote anapotoa hoja ya msingi inayogusa maslahi ya wengi Bungeni na serikali kuonyesha kupuuza?
(2) Nimeona viongozi kadhaa wakijigamba haswa anapolumbana na mwenzake kwamba nina elimu fulani ya uchumi au sheria n.k. Kuwa na level fulani ya elimu kunahalalisha kile unachozungunza hata kama ni upuuzi?
 
Hapo pekundu, ni kwa kuandamana hata wakikataa maandamano hawawezi kupinga nguvu ya umma.
 
Ndg yangu Zimamoto ninasikitika sana MP's wanapeleka hoja za msingi zinazogusa shida zetu kama wanavyopaswa (mf. maji, elimu ovyo) lkn sisi wananchi tupo kimya as if hayatuhusu. Let us wake up & tell CCM goverment we are tired with this povert & bla bla. Ni lazima tuamke na kesema hizi ndo kero zetu na wasipowasikiliza MP's tutajitetea wenyewe.
 
Back
Top Bottom