Waraka kwa CCM na Wapinzani

Waraka kwa CCM na Wapinzani

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2008
Posts
3,007
Reaction score
2,470
CCM na Wapinzani wamewasikitisha Watanzania wengi,kwa jinsi ambavyo wanazozana kila wakati na wanakosa muda wa kufanya mambo ambayo yanaweza kuwasaidia wananchi. Bunge ambako panatakiwa kuwa mfano mzuri wa tabia kwa wananchi tumeona kwamba pamekuwa mahala pa machafuko.
Ni kazi yao wabunge kuwawakikilisha wananchi na kutetea maslahi yao,lakini kwa nini wafanye hivyo kwa vurugu kubwa?Hawa wabunge hawafanyi mambo ambayo wananchi wangetarajia wafanye. Hata Wabunge watano tu au kumi wakifanya fujo Bunge lote inabidi liahirishwe.
Kwa hiyo, napendekeza Wabunge waache chuki an gadhabu,au kitu chochote hicho kinachofanya Bunge liahirishwe tena na tena,na wafanye kazi yao kwa kuwatumikia wananchi in a non-partisan manner,waliweke Tiafa kwanza. Wabunge wamechangamshwa sana nah ii ‘point of order’,mwongozo,they are making a fetish of it.
Ni ajabu kuwaona wabunge wa upinzani wanatoka nje ya Bunge. Huyu Tundu Lissu ameshinda appeal yake juzi,alikuwa analia machozi ya furaha,leo hii yeye ndiye kinara wa kuwaongoza wenzake watoke ndani ya Bunge. Kitu gain kinarekebishwa kwa kukiacha katika hali yake ya kuharibika? Kama kitu kimeharibika,you have to stay there and fix it.
Kwa hiyo mimi napinga kukitoroka kitu chochote kilichoharibika. Kitu kilichoharibika,kitengeneze,be a part of it and fix it from within the system.
 
Sijakuelewa, na wala hueleweki, labda ngoja nisubiri wadau wengine waje, but for now, I reserve my comment..!
 
Asante kwa mtizamo wako ila tunapenda ujikumbushe kuwa kudai haki toka viongozi wa ccm ni lazima uidai kwa nguvu zako zote, akili zako zote na moyo wako wote. Ccm huwa hawapendi kutoa haki, hupindisha mambo kwa makusudi ili ionekane wapinzani ni wakorofi. Dawa yao ni kuwang'ang'ania! Walichokifanya maspika wote wawili ni kubaka demokrasia kwa kisingizoo cha fujo walizofanya wenyewe. Hivyo haikubaliki kuendelea kunyamaza ukionewa kwa makusdi kwa kisingizio cha amani. Tazama tena motive zako kabla hujaandika kulaani wapinzani
 
We waache waendelee hivyo hivyo, kutokutofautiana maana yake ni kufanana, sasa wafanane wao wamekuwa viazi?? mbona unataka kuturudisha enzi za zidumu fikra za baba/babu yako?
 
We Gamba Unamdhalilisha Babako na Familia yake. Ndo maana Magamba wenzio wamemnyima MAMA Kitambulisho! Hivi wewe ni Mtoto wa JKN kweli au Kitanda hakizai Haramu?... We umemuona Lisu ndo mwenye fujo? Huoni Makinda na Ndugai plus wenyeviti wanavyo toa maamuzi yenye Upande Mmoja wa CCM?

Leo hata SHIBUDA ameona tatizo za Dhulma inayofanyika Bungeni Ila wewe tu ndo Huoni?...

Slow down brother kale kaheshima kidogo uliyokuwa nayo sasa inashuka kwa mwendokasi 240 km/hrs ...Kijiti noma mkuu USHAZEEKA sasa....
 
Bwana Andrew, kugoma ni sehemu moja wapo ya njia za mawasiliano. Kwanini uendelee kuwaeleza watu wasiotaka kuelewa. Mathalani, kanuni za Bunge ni kuzungumza kwa dakika 15, Magembe ka zungumza kwa dakika 25. Naibu spika alichotakiwa kufanya baada ya dakika 15 na kulihoji bunge kama linaweza kutengua kanuni inayo simamia kuzungumza kwa dakika 15 na kuongeza hizo zingine.

Haya , hoja imetolewa na Mnyika inahitimishwa na Magembe na naibu spika anakubali tu sio upuuzi huo.... Our speaker and her deputy have been acting beyond doughty they are favouring CCM and its members
 
CCM na Wapinzani wamewasikitisha Watanzania wengi,kwa jinsi ambavyo wanazozana kila wakati na wanakosa muda wa kufanya mambo ambayo yanaweza kuwasaidia wananchi. Bunge ambako panatakiwa kuwa mfano mzuri wa tabia kwa wananchi tumeona kwamba pamekuwa mahala pa machafuko.
Ni kazi yao wabunge kuwawakikilisha wananchi na kutetea maslahi yao,lakini kwa nini wafanye hivyo kwa vurugu kubwa?Hawa wabunge hawafanyi mambo ambayo wananchi wangetarajia wafanye. Hata Wabunge watano tu au kumi wakifanya fujo Bunge lote inabidi liahirishwe.
Kwa hiyo, napendekeza Wabunge waache chuki an gadhabu,au kitu chochote hicho kinachofanya Bunge liahirishwe tena na tena,na wafanye kazi yao kwa kuwatumikia wananchi in a non-partisan manner,waliweke Tiafa kwanza. Wabunge wamechangamshwa sana nah ii ‘point of order',mwongozo,they are making a fetish of it.
Ni ajabu kuwaona wabunge wa upinzani wanatoka nje ya Bunge. Huyu Tundu Lissu ameshinda appeal yake juzi,alikuwa analia machozi ya furaha,leo hii yeye ndiye kinara wa kuwaongoza wenzake watoke ndani ya Bunge. Kitu gain kinarekebishwa kwa kukiacha katika hali yake ya kuharibika? Kama kitu kimeharibika,you have to stay there and fix it.
Kwa hiyo mimi napinga kukitoroka kitu chochote kilichoharibika. Kitu kilichoharibika,kitengeneze,be a part of it and fix it from within the system.

Ndugu unamlaumu nani Lissu au Spika au wabunge wote. au wale wa upinzani hueleweki mkuu. Tittle inasema wabunge wote lakini contents unamlaumu LISSSU . kaka vip? weka lawama zako vizuri ,tuweze kuchangia mkuuu
 
Nimesema mwacheni Andrew mzee wa kitu cha Tarime, yeye akitumia kitu hicho anaona watanzania wote wadogooooo na yeyd hujificha kwenye mchicha na kusema 'hamnioni!'
 
nimesema mwacheni andrew mzee wa kitu cha tarime, yeye akitumia kitu hicho anaona watanzania wote wadogooooo na yeyd hujificha kwenye mchicha na kusema 'hamnioni!'

anajifanya hajui ukweli. Ni sawa na mbuni kujificha kichwa akidhani mwili wote hauonekani.
 
Hivi Tundu Lisu anawakilisha ccm na wapinzani? Hivi ni kwa nini nyie magamba hamuachi personal attack, hivi ulichokiandika kinaendana na heading kweli? Naondoka kwa muda nitarudi tena
 
Sijakuelewa, na wala hueleweki, labda ngoja nisubiri wadau wengine waje, but for now, I reserve my comment..!

...hata mimi naona maandishi ya kijapani pole mzee wetu ukikaa na Mangili Watakutwisha pembe bila kujali umri wako....!!!
 
mkuu unajua unamdhalilisha sana teacher huko alipo?
 
Andrew Nyerere umeandika nini hapa?
Hivi kweli unadhani wanapigania maslai ya nani kama sio wananchi?
Haiwezekani hoja zinaletwa bungeni kwaajili ya kutatua matatizo ya wananchi alaf wao wanazitupa bila sababu za msingi!
Mfano hoja ya mnyika kuhusu maji!

Alaf una mlahumu lisu wakati yeye alikuwa ana tetea maslahi ya wananchi.

CCM na Wapinzani wamewasikitisha Watanzania wengi,kwa jinsi ambavyo wanazozana kila wakati na wanakosa muda wa kufanya mambo ambayo yanaweza kuwasaidia wananchi. Bunge ambako panatakiwa kuwa mfano mzuri wa tabia kwa wananchi tumeona kwamba pamekuwa mahala pa machafuko.
Ni kazi yao wabunge kuwawakikilisha wananchi na kutetea maslahi yao,lakini kwa nini wafanye hivyo kwa vurugu kubwa?Hawa wabunge hawafanyi mambo ambayo wananchi wangetarajia wafanye. Hata Wabunge watano tu au kumi wakifanya fujo Bunge lote inabidi liahirishwe.
Kwa hiyo, napendekeza Wabunge waache chuki an gadhabu,au kitu chochote hicho kinachofanya Bunge liahirishwe tena na tena,na wafanye kazi yao kwa kuwatumikia wananchi in a non-partisan manner,waliweke Tiafa kwanza. Wabunge wamechangamshwa sana nah ii ‘point of order’,mwongozo,they are making a fetish of it.
Ni ajabu kuwaona wabunge wa upinzani wanatoka nje ya Bunge. Huyu Tundu Lissu ameshinda appeal yake juzi,alikuwa analia machozi ya furaha,leo hii yeye ndiye kinara wa kuwaongoza wenzake watoke ndani ya Bunge. Kitu gain kinarekebishwa kwa kukiacha katika hali yake ya kuharibika? Kama kitu kimeharibika,you have to stay there and fix it.
Kwa hiyo mimi napinga kukitoroka kitu chochote kilichoharibika. Kitu kilichoharibika,kitengeneze,be a part of it and fix it from within the system.
 
Last edited by a moderator:
Andrew mimi binafsi nakuheshimu sana na naamini watanzania wengi wanakuheshimu na lazima ujue kwa kiasi kikubwa heshima na upendo huo unatokana na wewe kuwa mtoto wa kipenzi chetu Mwl. Nyerere juu ya mambo aliyoifanyia nchi hii na msimamo wake wa kusimama na kuwatetea wanyonge! mimi nimekuona siku za karibuni ukiishambulia Chadema na hata uzi wako huu unamlaumu Lissu na Chadema kijanja badala chama chako kupitia viongozi wa bunge kwa kuminya haki na demokrasia waziwazi kwa kuvunja kanuni na utaratibu na zaidi kuwazuia wabunge wa upinzani kuisimamia serikali ipasavyo kwa manufaa yetu sisi wananchi.kutokana na hayo naomba haya yafuatayo;
1.ujue wazi ccm hii si aliyoiasisi baba wa taifa, marehemu baba yako
2.kama umeamua au kununuliwa na mafisadi ili usimame na wasio haki,fanya hivyo bila kuishambulia Chadema kwani kwa sasa Chadema ni tumaini la watanzania wanyonge au utapata laana ya watanzania hawa na kutoka kwa mzazi wako
3.kwa kuwa wewe ni mtoto mkubwa wa mpendwa baba wa taifa ambaye anajulikana kwa kusimama na wanaoonewa, wewe kujipambanua kama kibaraka wa wanyonyaji na wakandamizaji, ujue wazi kwamba unamwaibisha na kumshushia hadhi baba wa taifa na inaanza kutujengea mashaka juu ya uadilifu wa mzee wako na ushauri wa mwisho/wosia aliowaachia nyinyi kama wanafamilia( wengi tumekuwa tukifikiri kuwa aliwaasa kuishi yale aliyoyaamini na kuyapigania, ambayo ni kusimama na wanyonge daima)
 
Mkuu umeandika maneno mengi lakini husomeki!hebu nyoosha sentesi ueleweke.
 
Hivi Tundu Lisu anawakilisha ccm na wapinzani? Hivi ni kwa nini nyie magamba hamuachi personal attack, hivi ulichokiandika kinaendana na heading kweli? Naondoka kwa muda nitarudi tena

Kama Tundu Lissu hataki kusemwa,aache kumtesa Spika.
 
naona umeamua kuleta porojo humu ndani.ina maana unataka kujifanya hujui kinachoendelea kwa uongozi wa CCM kukandamiza demokrasia makusudi, kwa uroho wao wa madaraka na kujilimbikizia mali?Hivi baba yako angefanya haya wanayotufanyia leo hii nchi hii ingekuaje?Acha unafiki.
 
Back
Top Bottom