MBUNGE H. KIGWANGALA Ashushuliwa na M/kiti Zungu

MBUNGE H. KIGWANGALA Ashushuliwa na M/kiti Zungu

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
Habari wabajf?

1. Nimecheka sana, kweli Zungu safi sana wakati wanaendelea na uchangiaji wa mabadiliko ya sheria mbalimbali bunge H.kingwangala alipeleka kimemo kwa Zungu kuomba kuchangia, amepewa nafasi ananza kutoka nje ya maada na kutaka kuendeleza mambo yake ya tangu majuzi,M/kiti zungu akamzima fasta na kuailisha bunge... ( kwa aibu kweli).

H.KINGWANGALA WEKA HUMU ULICHOTAKA KUCHANGIA TUKIPIME

2. Lingine jana nilicheka pia wakati wa maswali na majibu, liliulizwa swali la Zitto Kabwe k.n.y akajibu Naibu waziri wa madini MASELE. Kwenye swali la nyongeza naibu spika akasema hee TUNDU LISSU mmh yani Masele akasema haa! na kuguna kwa nguvu baada ya jina ili kutajwa kweli bunge tamu kweli

V
SENGEREMA
 
Hawa wote M4C itawaondoa mwaka 2015!!!! usiogope kamanda wananchi wa leo si walea mwaka 47.
 
Zungu ni mbabe sana , ila kwa alichofanya kwa DR Vitumbua ni haki yake maaana jamaa sijui alikuwa na nini? Kama si majungu yake.
 
Kwa hiyo jina la Tundu Lissu likitajwa, Magamba yote vinyonyoleo vinawasimama!
Kweli magamba yanamgwaya!
 
Akija hapa atasema Zungu alikuwa anaenda na muda.
 
Kwa hiyo jina la Tundu Lissu likitajwa, Magamba yote vinyonyoleo vinawasimama!
Kweli magamba yanamgwaya!
Nilicheka sanaa jana yani masele sijui ata CV yake anapata tabu sana kujibu maswali.
 
Kigwangala sidhani kama kuna mgonjwa atakuja kwako umtibu au umpe ushauri kwasababu hauna akili wewe mwenyewe unatakiwa ukatibiwe akili nimefurahi sana kitu Zungu amekufanyia leo maana hukuwa na cha kuchangia zaidi ya kuongea pumba subiri wale ziro wenzako Ndugai Mimacho na bibi Kiroboto wawepo labda ndio watakupa nafasi ya kuongea ujinga wako maana akili zenu zinafanana wote ni maziro
 
Kwa nini Mussa Zungu anamnyima nafasi Mh Kigwangala ya kuwasilisha taarifa yake kuhusu utaratibu? ndani ya siku moja amemkata kauli mh kigwangala mara mbili.

Kuna mambo mawili tu hapo, moja anaogopa hoja za kigwangala, na mbili anaogopa malumbano yatakayoweza kuibuka ukizingatia hoja nzito ambazo kigwangala amekuwa akiwasilisha kwenye bunge hili toka lianze. je amenusa kigwangala anataka kuongea nini ama ni kutafuta kaumaarufu ka kuonekana mkali tu mbele ya wabunge.
 
Si ungeliangalia mpaka mwisho na ukishaona imeishaje basi uje utupe jibu?

Itakuwa kichekesho Kigwangallah na Tundu Lissu wafukuzwe Bungeni kwa kufanya fujo.

Nafikiri kwa sasa hivi wanayemuogopa sana Bungeni ni Tundu Lissu na wanasema kabisa ANAFUJO.
 
Hiyo ya pili, kuna mtu anaweza kuielezea ikaeleweka? Wengine tupo huku Sikonge na hatuna TV za kueleweka.
2. Lingine jana nilicheka pia wakati wa maswali na majibu, liliulizwa swali la Zitto Kabwe k.n.y akajibu Naibu waziri wa madini MASELE. Kwenye swali la nyongeza naibu spika akasema hee TUNDU LISSU mmh yani Masele akasema haa! na kuguna kwa nguvu baada ya jina ili kutajwa kweli bunge tamu kweli

V
SENGEREMA
 
Atasema zungu ni mgonjwa na kuwa kuna ugonjwa alimtibu mwaka 2006
Teh teh teh teh Kigwangala kiboko, Tundu Lissu apata saizi yake, jamaa alimchana msomi Lissu mpaka akawa mdogo kama piritone
 
Hamis Kingwangala akiwa anazungumza mie huwa nazima Tv yangu! Huwa hana hoja yenye mashiko bali kuchemsha tu!
 
Mkuu hii ni thred au umetuekea umbea mana sioni cha maana hapa. Mods nao sijui wapo mapumziko ama wameenda kula?
 
Back
Top Bottom