Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WAKATI SASA UMEKARIBIA KAMA SIO UMEFIKA WA KIONGOZI MKUBWA KABISA MWENYE DHAMANA YA NCHI HII, KUTOA MATAMKO, ILI KUINUSURU NCHI. JUZI MAKINDA NA NDUGAI, PALE MJENGONI WANAPEWA HOJA ZENYE MAANA...
2 Reactions
1 Replies
976 Views
Spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania amemtaja mbunge wa singida mashariki Mhe Tundu Lissu kuwa ni mbunge anae ongoza kwa fujo na msumbufu bungeni! Hii ni mara ya kwanza katika...
36 Reactions
93 Replies
9K Views
Jamani mie nashindwa kuelewa hivi kwa hali ngumu ya maisha na ufisadi huu uliokithiri nashindwa kumuelewa Rais wetu JK au ndio analipiza kisasi kwa sie kutompigia kura maana kihalali aliambulia...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
THURSDAY, FEBRUARY 07, 2013 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyeshwa jambo na Seneta, James Inhofe wa Jimbo la Oklahoma, wakati alipomtembelea...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mhe. Anne MAKINDA, aliwahi kukaririwa na Magazeti ya UHURU na HABARI LEO akisema hivi; ''..... wapinzani wanatafuta umaarufu na kujijenga kisiasa...
2 Reactions
50 Replies
4K Views
Juzi yalitolewa matangazo kuwa kutakuwepo na mkutano wa CHADEMA katika viwanja vya barafu Dodoma leo alhamisi kuanzia saa saba utakaohutubiwa na kina LISU,LEMA,MNYIKA,NYERERE,MSIGWA na...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Wadau, Muda huu nashuhudia kwenye TBC mojawapo ya matukio ya ziara ya rais Kikwete mikoa ya kusini ya Mtwara na Lindi. Kama kawaida yake, rais amekuwa na tabia ya kuruhusu wananchi kuwasilisha...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanabodi. Baada ya ajenda ya Dr Slaa ya ufisadi na mafisadi kupokelewa vibaya na wapiga kura bahati mbaya hawakutambua kuwa wananadi tuhuma na wananchi watafanya nini. Baada ya matokeo ya...
5 Reactions
149 Replies
9K Views
With all technology available today bado tunahesabu wabunge kwa namna hiyo...jamani aibu.
2 Reactions
11 Replies
2K Views
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha, ametumia lugha isiyo ya staha iliyotafsiriwa kama matusi, akimshambulia Mbunge wa Ukerewe, Salvatory Machemli (CHADEMA)...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Salaam nyingi sana dr slaa,,, Awali ya yote ni matumain yetu ya kwamba umzima wa afya na unaendelea vyema na shughuli za kila siku za kujenga chama kwa maslahi ya ukombozi wa taifa hili. Bila...
32 Reactions
200 Replies
12K Views
Wanajamii, Tumeshuhudia wote, na wala si mara moja, jinsi Wabunge wa Upinzani wanavyonyanyaswa na kunyimwa haki zao kama wawakilishi wa wananchi. Ndio kwanza tu tumeambiwa kuwa Kamati ya Uongozi...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Walianza kwa kumfukuza Zitto Kabwe Bungeni: Hili lilimpa umaarufu mkubwa sana, na alitumia wakati ule akiwa nje ya Bunge kuzunguka huku na kule kueneza sera za Chadema. Wakakataa Hoja Binafsi ya...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu, Hivi mbunge wako uliyempa kura yako anatimiza kile ulichomtuma pale bungeni? Binafsi mbunge wangu mzee Lyatonga Mrema naona anajitahidi japo haendani na spidi ya sasa ila...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
TUKIO lililotokea mjini Dodoma mwishoni mwa wiki wakati wanachama wa CCM wakiwa katika maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa chama hicho bila shaka limekitia doa na kukidhalilisha chama hicho...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JUMATANO, FEBRUARI 06, 2013 04:45 NA ARODIA PETER, DODOMA *Vurugu za wabunge zaishtua Ofisi ya Bunge, Serikali *Spika Makinda aahirisha kikao, hoja ya Nassari yalala *Kamati ya Ngwilizi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Bwana Chripin Meera mkuu wa wilaya ya Rungwe amemtimua kazi mwenyekiti wa kijiji cha Kiwira bwana Michael Chotamawe kwa kutohudhulia kikao chake cha dharura na kumkaimisha bwana Ndongwi sasa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa, amesema amesikitishwa na vurugu zilizotokea katika shughuri za kisiasa mkoani Jumapili iliyopita kati ya Chama...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Wadau wakati huu halmashauri zote nchini zipo Dar es salaam kuwasilisha mipango ya bajeti ya 2013/14 lakini cha ajabu ni kwamba fedha za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa mwaka 2012/13...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWA WANANCHI, TAREHE 31 JANUARY, 2013 Utangulizi Ndugu Wananchi; Kama ilivyo ada naomba tuanze kwa...
9 Reactions
179 Replies
14K Views
Back
Top Bottom