Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,359
- 2,389
Mheshimiwa Jenista Mhagama akiongoza bunge kama mwenyekiti katika hoja ya Attorney General kwa kale kamtindo ka kupiga kura ka kizamani ka kusema ndiyo au hapana anasema waliokataa nawasikia ni WAWILI NA ROBO..je ndio lugha gani hiyo ndani ya bunge? Je kuna mbunge robo? Ni nani huyo?
Ni mzaha au kuna u-serious hapo?
Ni mzaha au kuna u-serious hapo?