WAMA ya Salma Kikwete matapeli?

WAMA ya Salma Kikwete matapeli?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,712
Nimekuwa mgeni wa mara kwa mara wa wavuti wa kampuni ya mke wa rais ya WAMA. Siku zilizopita niliwahi hata kuwasiliana nao kupitia email yao hasa kipindi kile walipokuwa wakitumia anwani ya ikulu. Baada ya kufanya hivyo walibadili na kuacha kutumia anwani hiyo ya ikulu.

Juzi juzi nilijaribu kuwasiliana nao kuwasilisha kilio changu juu ya matumizi mabaya ya madaraka hasa ya rais chini ya kivuli cha WAMA. Kila anwani niliyotumia ilionesha kuwa ujumbe hauwezi kupokelewa.

Je WAMA wanaogopa nini au wanamdanganya na kumtapeli nani kuweka email ambayo haipokei? Je WAMA ya Salma Kikwete ni matapeli?

Anayetaka kujaribu kuwasiliana nao AGONGE HAPA
 
Alikuja kule kwetu Nyamisati Rufiji akawaita watendaji wa halmashauri akiwapo mkurrugenzi na akamwamuru kutoa hekta 30 za ardhi ili ajenge shule ya WAMA kwa ajili ya wasichana,na ekari 60 za Chuo cha ualimu na kama hiyo haitoshi alimwamuru mkurugenzi kupeeleka waalimu kutoka shule za serikali na kuwahamishia hapo.

Hii sio shule ya serikali ni shule yake binafsi anayoiendesha kwa gharama za serikali huku watoto wa maskini wakikosa walimu kutokana na yeye kuwahamishia kwenye shule yake
 
sijakuelewa mkuu. naona majungu kwa mbaaaaali.
Wewe kila kitu kinachomgusa Kikwete na familia yake ni majungu. Ifike wakati mke wa rais awe tu ceremonial kama ilivyo Marekani, Ufaransa na nchi nyinginezo. Asiruhusiwe kuanzisha asasi ya kibinafsi. Ni utapeli tu kama alivyofanya mke wa Mkapa ndivyo anavyofanya huyu Salma.
 
Ndio unajua leo? WAMA ni full utapeli. Actually ujambazi kwa kutumia nguvu za dola.
Mama Salma hana tofauti na Matrafiki wanaopora hela za madereva njiani kwa kutumia sare za polisi
 
Nimekuwa mgeni wa mara kwa mara wa wavuti wa kampuni ya mke wa rais ya WAMA. Siku zilizopita niliwahi hata kuwasiliana nao kupitia email yao hasa kipindi kile walipokuwa wakitumia anwani ya ikulu. Baada ya kufanya hivyo walibadili na kuacha kutumia anwani hiyo ya ikulu. Juzi juzi nilijaribu kuwasiliana nao kuwasilisha kilio changu juu ya matumizi mabaya ya madaraka hasa ya rais chini ya kivuli cha WAMA. Kila anwani niliyotumia ilionesha kuwa ujumbe hauwezi kupokelewa. Je WAMA wanaogopa nini au wanamdanganya na kumtapeli nani kuweka email ambayo haipokei? Je WAMA ya Salma Kikwete ni matapeli? Anayetaka kujaribu kuwasiliana nao AGONGE HAPA
inaitajika kuwa na king`amuzi kuwapata
 
Kwani WAMA ni ya nani? labda sheria ipitishwe ili ifanywe taasisi ya "Mke/Mume wa Rais" aliyeko madarakani...

Mkuu MM ilikuwepo EOTF mama Mkapa alipomaliza ufirst Lady akaondoka nayo,sijui kwa hii WAMA,
yawezekana ni mali ya Fisrt Lady hivyo misaada na kila kitu vikiingia ni mali ya yake binafsi na je
akimaliza naye ataondoka nayo kama EOTF!!!!?
 
Hii Board yao mimi ndo imenishangaza!

[TABLE="width: 450"]
[TR]
[TD]NAME[/TD]
[TD]TITLE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]H.E. Mama Salma Kikwete[/TD]
[TD]Chairperson of the Board [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hon. Mama Zakia Hamdan Meghji
[/TD]
[TD]Vice- Chairperson of the Board [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hon. Mama Mwanamwema Shein [/TD]
[TD]Board Member [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hon. Mama Sophia Simba[/TD]
[TD]Board Member [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hon. Amb. Mwanaidi Majaar Sinare [/TD]
[TD]Board Member [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mama Regina Lowassa [/TD]
[TD]Board Member [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mama Blandina Nyoni [/TD]
[TD]Board Member [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mama Hulda S. Kibacha [/TD]
[TD]Board Member [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Wewe kila kitu kinachomgusa Kikwete na familia yake ni majungu. Ifike wakati mke wa rais awe tu ceremonial kama ilivyo Marekani, Ufaransa na nchi nyinginezo. Asiruhusiwe kuanzisha asasi ya kibinafsi. Ni utapeli tu kama alivyofanya mke wa Mkapa ndivyo anavyofanya huyu Salma.
mkuu labda hujanielewa. sijasema majungu kwa sababu ya mke wa rais, nimeona majungu kwa sababu umeleta mada kishabiki zaidi. hivi leo hii ukinipigia sim yangu ya siku zote halafu ikawa haipatikani tayari nitakuwa tapeli? au kuomba kiwanja cha kujenga shule/chuo ni utapeli? labda uirudie kuisoma thread yako tena. tatizo lenu mmejifanya kuziba masikio. tutasema mpaka yazibuke.
NB;hata mimi sitaki mke wa rais awe na NGO yoyote kwa sababu ya conflict of interest na naunga mkono hoja 100%. nadhani umenisoma.
 
Kwani WAMA ni ya nani? labda sheria ipitishwe ili ifanywe taasisi ya "Mke/Mume wa Rais" aliyeko madarakani...
Msiombe akaingia madarakani rais mwanamke kutoka CCM. Akiingia tu mumewe anaanzisha WABABA/WANAUME NA MAENDELEO maana ndio utamaduni ulioanzishwa na CCM kuwa mke wa rais lazima aanzishe taasisi yake. Sasa ikitokea rais wa kike basi tutarajie WABABA/WANAUME NA MAENDELEO!
 
Hii Board yao mimi ndo imenishangaza!

[TABLE="width: 450"]
[TR]
[TD]NAME[/TD]
[TD]TITLE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]H.E. Mama Salma Kikwete[/TD]
[TD]Chairperson of the Board[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hon. Mama Zakia Hamdan Meghji[/TD]
[TD]Vice- Chairperson of the Board[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hon. Mama Mwanamwema Shein [/TD]
[TD]Board Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hon. Mama Sophia Simba[/TD]
[TD]Board Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hon. Amb. Mwanaidi Majaar Sinare [/TD]
[TD]Board Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mama Regina Lowassa [/TD]
[TD]Board Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mama Blandina Nyoni [/TD]
[TD]Board Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mama Hulda S. Kibacha [/TD]
[TD]Board Member[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mbona ni wale wale walioendelea? Imekaa kama G8!
 
Hivi taasisi ya WAMA ni ya Salma Kikwete au ya Mke wa Rais? Kikwete atakapoondoka madarakani 2015 mke wa Rais ajaye (au mume) bado atakuwa na madaraka ya kuongoza WAMA au ndio itaenda na kuwa taasisi ya Salma baada ya Urais?
 
kupitia WAMA sasa ana sekondari inaitwa salma kikwete secondary school iko nyamisati,rufiji
je bado anapokea mshahara kama mwalimu shule ya msingi oysterbay?
 
Back
Top Bottom