Kolabo hii Kabambe kuizidi ile ya UKAWA imedokezwa na kiongozi wa CHAUMA, Devota Minja kwenye kinachoitwa Mkutano Mkuu wa CUF.
Zaidi Devota Huyu hapa
Swali letu ni hili, Je kuna Maabara yoyote...
Rais wa Awamu ya 5 John Magufuli alimteua mke wa John Ndugai kuwa Mkurugenzi japo nimesahau ni Halmashauri IPI
Napenda kufahamu ni make yupi kati ya hawa wawili Fatma na Mary ambao kumezuka...
Ni aibu kuona TBC Bado inatumia camera zenye ubora mdogo wao bora sauti isikike ubora picha tutatafuta sisi watazamaji ni kwamba serikali imeshindwa kabisa kuboresha
Muda huu risasi za moto zinarindima baada ya wananchi kuandamana na kufunga barabara kumtaka diwani ambaye inadaiwa ametekwa akiwa Tarime na hajulikani alipo! Hali ambayo imepelekea wananchi...
Ndugu zangu Watanzania,
Kesho Dunia inakwenda kusimama ,kesho ndio kesho ,kesho macho yote Ya Dunia yanakwenda kuelekezwa Mkoani Dodoma ,kesho ni kama ile Fainali ya kombe la Dunia kati ya...
Huu Utaratibu wa Viongozi kupewa dhamana na Kukiuka dhamana waliyopewa Umeanza kuwa ni Utaratibu wa kawaida sana.
Leo hii hakuna asiye fahamu Uchaguzi wa VITI MAALUMU MBEYA umeharibiwa na...
TAARIFA KWA UMMA
TUME YA AFRIKA YAKUBALI AZIMIO KUHUSU HALI YA HAKI ZA BINADAMU NCHINI TANZANIA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinakaribisha na kupongeza kwa dhati kupitishwa kwa...
Nadhani chadema ishakufa kisiasa
1. Kazuiliwa kufanya mikutano, mihadhara na hata mahojiano ya chombo chochote cha habari hapa nchini
2. Kutotambulika kwa uongozi na msajili
3. Kufungiwa account...
Malalamiko yameibuka kutoka kwa baadhi ya Wagombea wa Ubunge kupitia kundi la Wanawake (Viti Maalum) Mkoani Kilimanjaro, wakimtuhumu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa mkoa...
Salamu Wakuu wa JF
SSH 25 30
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ni wazi kuwa ushindani wa kisiasa unazidi kuwa wa kisasa na unaotegemea zaidi teknolojia na mawasiliano ya umma. Kwa...
Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
"Watu wengi wamekuwa wakipotosha No Reforms No Election ya Freeman Mbowe ilikuwaje na No Reforms No Election ya Tundu Lissu ikoje. Wanatumia udhaifu wa wanachama kwamba haya yote yalikuwa...
Wakuu,
Hili ni tukio la kichama, katika shughuli ambayo kama atafanikiwa basi acc hizo za ikulu ndio zitatumika kirusha matukio yake.
Kwanini zinatumika leo Samia akienda kuchukua fomu kama...
Wananchi wa jimbo la Kongwa mkoani dodoma wameendelea kumbada kwa maswali mazito, Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, ambaye ni Mtia Nia wa Ubunge jimbo la...
Ni wazi lipo rika la vijana ambalo ndio tunalitarajia lituvushe katika kipindi cha miaka 30 hadi 40 ijayo.
Wapo waliobahatika kuingia kwenye korido za Chama na Serikali...ingawa baadhi yao hawana...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesema kuwa ACT Wazalendo ndicho chama kilichobeba matumaini ya Watanzania. Amesema, "Tuna waambia Tume ya Uchaguzi Zanzibar, wasijaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.