Nimeipenda sana hii
Mtumwa akiachiliwa anakuwa amepata Freedom, hii itawahusu sana Chawa Lucas Mwashambwa 😂
Aliyetawaliwa akiachiliwa anakuwa Independency hii inawahusu wale mbunyu waliotawaliwa...
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, akiwa njiani kuelekea ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu kuelekea ya Urais, Wananchi wa...
Maalim kaondoka na ACT wazalendo yake.
Hivi sasa ACT kwa upande wa Zanzibar imesinyaa haswa haswa. Viongozi wa sasa hawana mvuto wa kisiasa.
90% Dkt Mwinyi atashinda. Kwa mujibu wa taarifa mbali...
Kwasasa nchini Kuna nyumba za ibada ukiingia tu as if umeingia kwa mganga wa jadi unakuta mtumishi wa mungu anasema wakati anasali ameona bango🤣🤣...... stupid!
Kumbe siasa zimemjaa mpaka amegeuka...
Eneo rahisi la kuvutia watanzania wenye shida zilizosababishwa na CCM , ni kuanzisha Kanisa.
Huko ndiko watu kama "Kiboko ya wachawi" alikotapeli maelfu ya watanzania na kuachwa na CCM...
https://youtu.be/bUHv7OhYLzA?si=QYkQwS6JTsb4cmgk
Baada ya Rais kumfahamisha Mpina kuwa yeye ni mbunge wa Taifa na alisema ata Metis katika zile nafasi zake kumi. Leo hii Mpina ni mgombea U-Rais...
Ukiona mtu yuko uchi wa mnyama na anatembea barabarani bila kujali, anaongea, anacheza bila wasi wasi wowote basi fahamu fika wazi kuwa mtu huyo ni mgonjwa. Hajitambui kuwa yu uchi, anahitaji...
Hali si nzuri Kwa mama Samia, Alipoingia madarakani Samia alikuja na kauli ya kuifungua nchi, alijaribu kurejesha taswira ya Tanzania kwenye mstari.
Alisafiri nchi za ulaya kama zote na Marekani...
Chama cha Mapinduzi kesho, Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Dk.Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dk.Emmanuel Nchimbi, wanaenda kuchukua fomu...kwenye Tume Huru Ya Uchaguzi...
Sina kizuri cha kuandika Mungu yupo pamoja nawe,
Nipo nasikiliza wimbo wa Aswagile: Alienikoa nikakukumbuka mwamba uliekubali ufe umesimama katika kweli , najua wapo wanaokubeza leo ila kesho...
NARUDIA ukimnya wa Zitto na wenzake dhidi ya kauli za Zitto zitafanya tumwamini pole pole dhidi ya Act kuwa TAWI la CCM aise ni aibu kubwa sana.
Kumbe ndio maana wagombea wa Act ni masalia ya...
Deni lake almaarufu Deni la Mama , baada ya Sauti za Watanzania kua nyingi dhidi yake ,ameshtuka.
Ukandamizaji wa Demokrasia, huku Taifa likishuhudia Utekaji, na Mauaji Kwa Idadi ambayo...
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) jimbo la Tabata Segerea, Agness Kaiza, amekanusha madai kwamba chama chake si mbadala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kaiza amesema...
https://www.youtube.com/watch?v=d650ZU07JKQ
Ameambatana na James Mbowe
Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
Tanzania imewazuia waangalizi wa uchaguzi kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (#EAC) na Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (#SADC), ambazo zote ni jumuiya ambazo nchi hiyo ni...
GʻT
Hawa wanaonunua uongozi kuna biashara gani wanaenda kufanya huko kwenye ofisi za umma ili pesa zao zirudi. Taifa lipo katika hali mbaya sana chini ya wanamtandao TAKUKURU nao wameng'olewa meno.
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Mwili wa aliyekuwa spika msatafu wa bunge la Tanzania umewasili leo nyumban kwake dodoma, huku vilio vikitawala zaidi
Apumzike kwa aman...
Habari za leo GT,
Niende kwenye Mada.
Nadhani sasa ni kama habari ya Uchaguzi kitendawili kimeteguliwa basi twende shambani kama kawaida yetu. Kuna watu waliamini labda kutatokea REFORMS ili...
Chama Cha Wananchi (CUF) kimepitisha majina ya wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, huku kikiwaondoa wanachama saba waliodaiwa kufanya vurugu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.