Chungurumbira
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,170
- 571
Ndugu wanaJF kama mnavyoona na kuonja machungu ya CCM na serikali zake tokea 1961 kila kitu kwa sasa ni anguko kwa kwenda mbele. HAya hapa chini ni mojawapo ya maanguko ya CCM:-
* Kufa kwa Viwanda - ANGUKO
* Kushindwa kuhimili tatizo la ajira - ANGUKO
* Kugawa madini yetu bure - ANGUKO
* Kuwa na tatizo la njaa pamoja na tamko la kilimo Kwanza - ANGUKO
* Wizi wa kutisha na mikataba mibovu - EPA(kagoda), ,EREMETA,RICHOMOND>> dowans, symbion, IPTL, DEEP GREEN, BUZWAGI, PESA USWISI, n.k - ANGUKO
* Kufeli wanafunzi kidato cha nne 2012 ( hawa ni zao la matokeo mabovu ya kidato cha pili 2010 kama mnakumbuka - ANGUKO
* Deni la taifa kuwa kubwa 20Trill USD - huku tukiimbishwa wimbo wa maendeleo na kutimiza ahadi - ANGUKO
* Huduma mbovu zilizojaa rushwa katika Hospital, Polisi na mahakama - ANGUKO
* Uchukuaji wa makusudi njara za serikali na sio ujangiri (meno ya tembo, wanyama hai - Twiga) -ANGUKO
* Usalama kudorora wa wananchi kama mauaji ya Padri, maalubino n.k - ANGUKO
* Wananchi kutoiamini Polisi kama zamani - Anguko
* Udini - ANGUKO
Ndugu wanaJf yako mengi mengi hayana idadi lakini tufanye nini sasa???