Mbowe, John Mrema, Kigaila kuunguruma Mwanza kesho

Pwaaaa

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
248
Reaction score
67
Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Aikael Mbowe, a.k.a Kamanda wa ANGA, kesho anatarajiwa kuunguruma jijini Mwanza katika mkutano mkubwa utakaofanyika viwanja vya FURAHISHA.

Viongozi wengine watakaowasha moto hiyo kesho ni Mkurugenzi wa Halmashauri na Bunge wa Chadema, John Mrema, Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CDM, Alfred Rwakatare pamoja na Benson Kigaila ambaye ni Mkurugenzi wa Oganaizesheni wa chama!. Pia Mbowe atafungua kikao cha kwanza cha Baraza la Kanda ya Ziwa Magharibi pale ASPEN hoteli kabla hajaenda kuhutubia mhadhara huo.
 
Sasa kazi imepamba moto, Tofali juu ya accelerator mpaka 2015. Yaani moto chini. CCM Bye.
 
Haya sasa...Nape upooooooooooo....Magu mmepigwa
 
Safi san makamanda...mwaka huu tushasema ni mwaka wa nguvu ya umma bana...
 
nitakuwepo hapo,mhimu nijue mpango wa chama katika kujikita vijijini
 
Hakuna kulala mpaka kieleweke"Watu wapo kazini wakati maccm wanafanya michezo ya
kuigiza na vishonza hayaaaaa!!!""
 
sisiem mjiandae kuja FURAHISHA kujibu mapigo
 
Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Aikael Mbowe, a.k.a Kamanda wa ANGA, kesho anatarajiwa kuunguruma jijini Mwanza katika mkutano mkubwa utakaofanyika viwanja vya FURAHISHA.

Viongozi wengine watakaowasha moto hiyo kesho ni Mkurugenzi wa Halmashauri na Bunge wa Chadema, John Mrema, Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CDM, Alfred Rwakatare pamoja na Benson Kigaila ambaye ni Mkurugenzi wa Oganaizesheni wa chama!. Pia Mbowe atafungua kikao cha kwanza cha Baraza la Kanda ya Ziwa Magharibi pale ASPEN hoteli kabla hajaenda kuhutubia mhadhara huo.

baada ya kuwasha moto arusha sasa ni zamu ya mwanza.go go go kamanda wa anga
 
Ondoa shaka Boss nitawajuza kila hatua. CCM ndiyo hiyooooooo kwa herini ya kuonana!
 
Back
Top Bottom