Mwigulu-Uongozi kwa Vitendo

Mwigulu-Uongozi kwa Vitendo

MENDE JEURI

Senior Member
Joined
Apr 6, 2011
Posts
198
Reaction score
29
[h=5]Sisi vitendo wao maneno. Hatimaye barabara ya Kiomboi-Kisiriri- Kidaru hadi Chemichemi yaanza kupasuliwa. Naishukuru serikali kwa kunielewa na kusikia kilio cha wanakidaru ambao walikuwa hawana barabara ya kisasa mlimani na usafiri ilikuwa landrover. Sasa hata TAX ZITASHUKA KIDARU.[/h]
 

Attachments

  • kidaru.jpg
    kidaru.jpg
    32.6 KB · Views: 93
Fanyeni kazi ili mtekeleze ilani ya uchaguzi.acheni porojo za kuzungumzia maisha ya watu binfsi kwenye majukwaa ya siasa.UNAUMIA SANA WTZ KUONA KILA LIKISIMAMA GAMBA LA KIJANI NI FULANI FULANI FULANI.KOMAENI NA KAZI.
 
Unfortunately, kwa kasi ya sera za CCM hizo barabara zitatumika kwa msafara wa waambolezaji. Nchi inaelekea kuzimu! Tumeshaanza kuuwana kwa sababu ya sera ya udini ya CCM.
 
kumbe wewe ndiye mwigulu!!
Tunakushukuru kwa kutoa hela za familia yako kwaajili ya ujenzi wa bara2.
Bt we are merciless...!
Coming 2015 off u go.
 
Sisi vitendo wao maneno. Hatimaye barabara ya Kiomboi-Kisiriri- Kidaru hadi Chemichemi yaanza kupasuliwa. Naishukuru serikali kwa kunielewa na kusikia kilio cha wanakidaru ambao walikuwa hawana barabara ya kisasa mlimani na usafiri ilikuwa landrover. Sasa hata TAX ZITASHUKA KIDARU.
Dogo umekuja Live kujipongeza mwenyewe. huu mtaro
ulipaswa kujengwa miaka 30 iliyopita. Sisi tunasema kwasababu hatuna dola,tukishika dola we will walk the talk,tofauti na nyinyi mnasema mengiiii mnatekeleza moja tena halikamiliki,hasa tenda anapopewa mjomba....
 
Hivyo nivitu vya kawaida wala si vya kujivunia kwa nchi tajiri kama Tanzania. Vilipaswa kuwe vilishagfanyika miaka mingi iliyopita ila kwa sababu ya ufisadi leo ndo mnakumbuka baada ya kuona 2015 maji ya shingo! Hamtaweza kubadili kitu kwa muda huu maana kilichopo miyoni mwa watu ni chuki dhidi ya magamba hata mkiwagawia keki hasira hawezi kuisha mpaka mmeachia ngazi! Kama huamini fanya statistic kidogo hata kwa wachangiaji kwenye huu uzi wako utajua kazi mliyonayo 2015. Unaweza ukadharau kuwa hawa ni watu wa keyboard tu wapiga kura wako kijijini, nenda Mleba na Magu kawaulize wenzako kwenye ule uchaguzi mdogo kilichotokea na hapa moto wa M4C bado utaendelea kwa miaka miwili zaidi. Chazea chadema wewe!
 
Sisi vitendo wao maneno. Hatimaye barabara ya Kiomboi-Kisiriri- Kidaru hadi Chemichemi yaanza kupasuliwa. Naishukuru serikali kwa kunielewa na kusikia kilio cha wanakidaru ambao walikuwa hawana barabara ya kisasa mlimani na usafiri ilikuwa landrover. Sasa hata TAX ZITASHUKA KIDARU.

Kumbe MENDE JEURI ndo MWIGULU Lameck NCHEMBA Madelu. Sikufahamu hilo.

Ila hili jina la MENDE JEURI limefanana sana na tabia za huyu jamaa. Sasa huyu MENDE asubiri kifo cha MENDE 2015, miguu juu.

MENDEEEE!!!! MWIGULUUUUU!!!!!
 
Mtoto ana miaka kumi, ameanza kutambaa. Mzazi anajisifia mbele ya wenzie, "Jamani mwanangu ameanza kutambaa". Watu wamebaki wanamshangaa!!!!!!!!
 
kwa Tanzania ya leo maendeleo sio barabara tu ni zaidi ya hapo,kama kiongozi atakuwa anajidanganya kuwa akileta barabara ndio ameleta maendeleo,huyo anajidanganya,kwani maendeleo yote lazima yawahusishe wananchi na sio mbunge kukurupuka na kuleta barabara akawa anajisifia wakati wananchi wanahitaji maji!!!!!!Hivyo wewe Mende jaribu kutambua hilo!
 
tutaendelea kuwatumikia wananchi kwa kutekeleza sera za chama tawala. Wengine wataendelea kulalamika na kubeza kila hatua ya maendeleo inayofikiwa. Debe tupu haliachi kupiga kelele
 
Ndo watanzania tunavyodanganyika!?Kupanuliwa kwa barabara tu tayari maendeleo!52 years after independence tunayapongeza haya?Tungekuwa na viongozi wenye vision ya maendeleo Tanzania ingekuwa zaidi ya A.Kusini.Embu tufungukeni akili na fahamu zetu.
 
tutaendelea kuwatumikia wananchi kwa kutekeleza sera za chama tawala. Wengine wataendelea kulalamika na kubeza kila hatua ya maendeleo inayofikiwa. Debe tupu haliachi kupiga kelele

Debe tupu ni wewe! Vipi ile Guest unafikiaga Kiomboi utafikia tena hapo kwani ulishapigwa marufuku kwa ushirikina wako
 
Kidogo inasikitisha mwanasiasa kama Mwigulu anashindwa kutofautisha role ya Chama tawala na chama cha upinzani,hii ni hatari.serikali lazima itekeleze ilani ya chama chake hata CDM wakishika dola tunategemea watekeleze ilani yao sio hiari ni lazima.
 
Back
Top Bottom