CCM kwa hapa mmevuka mipaka

CCM kwa hapa mmevuka mipaka

issenye

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
3,795
Reaction score
5,255
Mjumbe wa kamati kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa Jerry Silaa akisindikizwa Jukwaani kwa staili ya aina yake ya kufagiliwa njia na WanaCCM waliokuwa wakibiringika mpaka kwenye ngazi za jukwaa. Anayemsindikiza ni Diwani wa Kata ya Tabata Hajati Mtumwa Mohamedi.http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2013/02/IMG_6267.jpg​
 

Attachments

  • ccm.jpg
    ccm.jpg
    56.9 KB · Views: 2,325
Sasa wewe mambo yasiyokuhusu unasikitika ya nini m4C naona inawashinda
 
Hiyo ndiyo hali halisi pale vipofu wanapoongozwa na kiongozi kipofu.
Unategemea nini?
 
Mjumbe wa kamati kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa Jerry Silaa akisindikizwa Jukwaani kwa staili ya aina yake ya kufagiliwa njia na WanaCCM waliokuwa wakibiringika mpaka kwenye ngazi za jukwaa. Anayemsindikiza ni Diwani wa Kata ya Tabata Hajati Mtumwa Mohamedi.​
njaa haina adabu ndugu yangu.
 
Huyo mama ana busu ardhi anayokanyaga Jerry? Au sijaelewa....this is too much
 
Jerry Silaa kashaingia kwenye mambo ya ushirikina. angalieni PETE za Mzee Yahya !
 
Hela hiyo, hao wanaobiringita hapo wameshalipwa chao! sasa sijui wanamdanganya nani?
 
wanafiki wakubwa hao njaa tu zinawasumbua hawana lolote.
 
mnakumbuka katika biblia kuna mfalme alishabikiwa sana, akajiita Mungu, mwishowe ukawa mbaya sana, ajiulize silaha kwa nini hawa wanamshangilia wakibusu ardhi na majani wakimwabudu, ili hali:

1. asilimia 60 ya watoto wao wamefeli kidatao cha nne,

2. kuna mgao mkali wa umeme

3.hakuna maji bali mgao wa kutisha

4. kupanda kwa bei za vyakula, hakuna mwenye uhakika wa mlo
5. watu kujenga mabondeni, hakuna viwanja vilivyopimwa na yeye ni meya!

6. hakuna ajira

7 kuna vurugu za kidini na kikabila

8. kuna foleni za kutisha dsm

9. jiji ni chafu linanuka

10. shule za private ada ni mdundo

11. wanafunzi maskini hawapati mikopo bali watoto wa matajiri

12. mafisadi wa chama chake wanazidi kukomba hazina ya walipa kodi kwa mitindo ya epa, dowans, deep green, nk


SASA ANASHANGILIWA KWA LIPI?
 
Mi sioni tatizo la hao wanaobiringita sababu wanatumikia ujira wao, ila nina jambo juu ya J. Slaa Mwenyewe, kwanini anaoenekana kufurahia sana kufuru za namna hii?
 
mnakumbuka katika biblia kuna mfalme alishabikiwa sana, akajiita Mungu, mwishowe ukawa mbaya sana, ajiulize silaha kwa nini hawa wanamshangilia wakibusu ardhi na majani wakimwabudu, ili hali:

1. asilimia 60 ya watoto wao wamefeli kidatao cha nne,

2. kuna mgao mkali wa umeme

3.hakuna maji bali mgao wa kutisha

4. kupanda kwa bei za vyakula, hakuna mwenye uhakika wa mlo
5. watu kujenga mabondeni, hakuna viwanja vilivyopimwa na yeye ni meya!

6. hakuna ajira

7 kuna vurugu za kidini na kikabila

8. kuna foleni za kutisha dsm

9. jiji ni chafu linanuka

10. shule za private ada ni mdundo

11. wanafunzi maskini hawapati mikopo bali watoto wa matajiri

12. mafisadi wa chama chake wanazidi kukomba hazina ya walipa kodi kwa mitindo ya epa, dowans, deep green, nk


SASA ANASHANGILIWA KWA LIPI?
sina la kuongeza, asante sana. sielewi ni nini hasa kinawaweka busy viongozi wetu??
 
Back
Top Bottom