Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

na Josephat Isango KWA mara nyingine tena Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimekiliza Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya Mbunge wake wa Meatu, Meshack Opurukwa, kushinda...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Katika mwendelezo wa operationi katika visiwa ndani ya Ziwa Victoria,ambazo zinaendelea kuonyesha mafanikio makubwa kwa CHADEMA,kamanda Mawazo amesema kuwa ,hali ya vijijini kwa chama ni nzuri...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Ni takribani wiki mbili zimepita tangu kutangazwa kwa matokeo ya kidato cha nne, matokeo ambayo yamelalamikwa na makundi mbalimbali wakiwemo wanasiasa. Leo nataka tusaidiane kutafakari kama...
0 Reactions
2 Replies
914 Views
Tume imeundwa kuchunguza kwa nini wanafunzi tumefeli sana mwaka huu...!!!!?? kwa uelewa wangu naona hakuna jipya ambalo tume hiyo itakuja nalo kwetu maana kila kitu kinajulikana kwa serikali...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
1. Imuulize Prof. Jumanne Maghembe sababu za kufuta FORM TWO ZONAL EXAMINATION Binafsi naamini mtihani uliondolewa kama danganya toto ili kujaribu kuonesha kuwa watoto wa shule za serikali zisizo...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanajamvi katika hali ambayo ni ya kusikitisha mbunge huyu Zaben Muhita hajawahi kuonekana jimbon kwake zaidi ya mwaka mmoja na nusu sasa.Wakati huo wanainchi wakikabiliwa na matatizo lukuki kama...
1 Reactions
25 Replies
7K Views
JUMATANO, FEBRUARI 27, 2013 06:46 NA GABRIEL MUSHI, DAR ES SALAAM Waziri Lukuvi, vigogo UVCCM wataharuki. KUNDI la wajanja' linaloundwa na watu wasiojulikana, linaendesha mkakati wa kupora...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
KATIKA hali ya kuonesha dhamira ya wazi ya kutovumiliana leo majira ya saa 8 katika ofisi ya CHADEMA wilaya ya TARIME kumetokea malumbano kati ya viongozi wa wilaya waliokuwa na kikao cha kawaida...
2 Reactions
58 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa TLP na mbunge wa Vunjo,Augustin Mrema amesema katika mahojiano na gazeti la Mtanzania Jumatano kuwa serikali imeshindwa na ijiuzulu. Asema imepoteza muelekeo kushughulikia...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hakika mwenye shibe hamjui mwenye njaa; kelele zote rais haoni kama kuna haja ya kutia neno mimi naona kweli hali hii inachosha inaonyesha serikali ipo kwa ajili ya matumbo tu; watoto maelfu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
NECTA YA NDALICHAKO IHESHIMU WADAU WAKE Ndugu wadau wa JF, hii taasisi ya Necta haina heshima hata kidogo kwa wadau wake. Kauli zake kwa watahiniwa, wasimamizi na wasahihishaji ni chafu sana...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Baada ya kusoma humu watu wakihitaji namba ya kamanda Mawazo niliwasiliana naye usiku na akaniruhusu kuiweka namba yake baada ya kumshawishi sana! Hata hivyo kamanda jana alipata ajari ya kuteleza...
0 Reactions
71 Replies
8K Views
Yap kuna watu walimlinganisha na Kabila, wengine wamemlinganisha na Thabo Mbeki MImi naona bora nimlinganishe na Sheikh Mohammed ibn Rashid al Makthoum aka Sheikh Mo wa Dubaiwhy? BONYEZA HAPA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tunaelekea 2015, kama mkazi wa jimbo la Ukonga kuna mengi sana ya kujiuliza,shida kuu za jimbo hili ni Maji,Barabara(miundombinu),huduma za afya, toka enzi la Balozi Rupia (Karne ya 20). Leo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
  • Closed
Njia fupi kutoka Mwanza kuelekea Aljazeera Ukerewe-3 Jumatano, Februari 27, 2013 06:38 Na Ratifa Baranyikwa WIKI iliyopita MTANZANIA JUMATANO ilieleza...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
  • Closed
It is an Old story; But I think it is not TRUE... Trying not to believe Young man flees family death threats on Muslim isle; another chooses jail over violent mob. NAIROBI, Kenya...
0 Reactions
2 Replies
948 Views
TAMKO LA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAMU ZANZIBAR KULAANI MASHAMBULIZI NAMAUAJI YA VIONGOZI WA DINI PAMOJA NA KUPINGA KAULI ZA UCHOCHEZI DHIDI YAZANZIBAR Kila sifa njema anastahiki Mwenyezi Mungu...
11 Reactions
181 Replies
17K Views
Nimesoma kwenye gazeti la the east african la jumatatu hii, kuhusu kampuni ya kiastralia kupata $361 toka mradi wa ngualla rare earth. Naomba mh.mbunge tuambie au tafuta ukweli wa kampuni wa hii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Alhamisi, Januari 17, 2013 06:16 Na Sarah Mossi, Zanzibar *Ni Katibu Mkuu wa kwanza Baraza la Mapinduzi Zanzibar *Aeleza walichokifanya Abeid Amani Karume na Nyerere KATIBU Mkuu wa kwanza wa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Kuna habari za kuaminika zilizothibishwa kutoka ndani ya uongozi wa TBS kuwa wanapanga kufanya mgomo wa siku tatu kupinga ubabe wa waziri Kigoda kuingilia utendaji wa kazi kwenye shirika hilo...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…