JK vs Sheikh Mohammed bin Makhoum | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK vs Sheikh Mohammed bin Makhoum

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Oct 10, 2008.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Yap kuna watu walimlinganisha na Kabila, wengine wamemlinganisha na Thabo Mbeki

  MImi naona bora nimlinganishe na Sheikh Mohammed ibn Rashid al Makthoum aka Sheikh Mo wa Dubaiwhy?
  BONYEZA HAPA CHINI:----------->

  http://www.cbsnews.com/stories/2007/10/12/60minutes/main3361753.shtml

  Tatizo JK amezungukwa na akina Marc Junius Brutus (jamaa aliyeplot kifo cha Caesar enzi hizo Rome) wakati Sheikh Mo kule kwa alhul bait kule ndiye mwenye VISION hata daraja likijengwa na Marc Foster basi mtaambiwa hiyo ilikuwa ni VISHENI ya sheikh Mo, na kila mtu hilo analikubali

  Maybe JK needs to take a lesson from him

  In the meantime enjoy the video above
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2008
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  GT,
  Mbona sijaona similarities? Sheikh ni work-a-holic aliye na vision. Three years in his presidency I am yet to see JK's vision, unless uniambie kurandaranda hapa na pale ni vision.
   
 3. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  lakini Jasusi hebu kwanza tazama hiy video kisha utaelewa similarities ziko wapi...
   
 4. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2008
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  Ungejitazama wewe kwanza na kufikiria nini JK kaifanyia TZ mpaka sasa halafu umfananishe na Sheikh Mo. Ni navyojua mimi JK alikuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wakati wa ununuzi wa nyumba ya ubalozi kule italy. Alikuwa waziri wa nishati na madini uliposainiwa mkataba wa IPTL.

  Tutajie hizo similarities za Sheikh Maktoum na JK acha blah blah na kupenda kuliko kunakokufanya chongo uite kengeza. Kwa taafifa yako na ya wana JF akitoka Mungu kimadaraka ni Rais wa nchi yoyote awe ni Sultan/Sultana Malkia au Mfalme! Yeye huyo JK amefanya nini kwa kuwa na mamlaka makubwa kama hayo?Mwenzie Makhatoum kaweza na wewe unasadiki hata sasa wakifanya wengine wanasema ni vision ya makhtoum pengine in years to come kukitokea ufisadi watu watasema ni Vision ya JK au kwa sasa kuvuja kwa mitihani tunaweza kusema ni Vision ya JK maana si waziri wake wala yeye aliyethubutu kusema neno. GT sometimes try to think before you lip unatuchefua wanaJF wengine wana mimba changa usije kusababishe watapikie keyboard zao Watch.

  Note:

  Sheikh Makhtoum na JK ni sawa na mbingu na ardhi.
   
  Last edited: Oct 10, 2008
 5. s

  speechwriter Senior Member

  #5
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  uzuri wa Dubai watu wote hawana vision....mwenye vision ya kujenga kila kitu pale ni mmmoja

  Mohammed bin Makhtoum
   
 6. G

  George Smiley JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2013
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  makubwa!
   
Loading...