Chanazi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2010
- 212
- 73
Tunaelekea 2015, kama mkazi wa jimbo la Ukonga kuna mengi sana ya kujiuliza,shida kuu za jimbo hili ni Maji,Barabara(miundombinu),huduma za afya, toka enzi la Balozi Rupia (Karne ya 20).
Leo Karne ya 21 Mbunge na naibu waziri wa wizara mbalimbali kwa nyakati tofauti tofauti .... maendeleo ya dunia na maendeleo ya jimbo ni mbingu na ardhi,shida ya maji ni kero ambayo tunaibeba kama maisha ya kawaida kwetu.Tumezoea maji ya chumvi kiasi kwamba tunawashangaa mnao lalamika maji yanatoka wiki mara moja wakati sisi hata mwezi unaweza kupita bila maji na hii toka enzi hizo hadi leo.
Umeme shida kutwa kukatika, barabara finyu na chakavu.,, nadhani sisi na mabingwa wa dunia kwa foleni zisizo na ulazima! huduma za afya zina enda mwendo wa kinyonga.Je huyu mbuge anatufaa!???
Kama kuna mazuri sijayataja ruksa kunikumbusha, kama unaona yanafanana na uwepo wake na mahitaji yetu!!