Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Radio hizi mbili zimefungiwa miezi sita, na Clouds FM kupigwa faini ya milion 7 KWA NEEMA FM Mwanza: Sababu ni kushabikia maswala ya uchinjaji Mwanza Radio Iman FM Morogoro: Kushabikia watu...
48 Reactions
746 Replies
71K Views
Habari yako Nimejitolea kukupa ushauri wa bure baada ya kuona unazidi kujipaka matope!!Inawezekana hujui unachokifanya kwa sababu ya ushamba wako wa kisiasa, ila watu waliobobea kwenye siasa...
36 Reactions
70 Replies
6K Views
Na NUKUU, "Ndugu Wananchi; Napenda kuwahakikishia kuwa sisi katika Serikali tumetoa kipaumbele cha juu sana kwa elimu na kwamba hakuna upungufu wa utashi kwa upande wangu na wenzangu wote...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa hadhi ya kamati kuu ya chama chochote ni aibu kubwa sana na inayoashiria kushuka kwa nyuzi 90 Kupokea wanachama wapya tena waliofukuzwa kwa usaliti na mienendo mibaya wasio na hata hadhi ya...
13 Reactions
154 Replies
14K Views
Habari zilizoenea miongoni mwa wafanyakazi wa NECTA na wizara ya Elimu tangu jana jumatano zinasema wakati wowote kuanzia sasa Katibu Mtendaji wa baraza la Mitihani - Dr. JOYCE NDALICHAKO...
0 Reactions
160 Replies
18K Views
Kama kamanda umetoa kadi ngapi adi sasa unamchango gani kwa CDM unajivunia nini kua na gamba la CDM hayo ndio mambo ya msingi ya kuongela kuna upungufu gani kwenye msingi wako nini kifanyike...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Star TV. sasa wadau fuatilien mjadala Dsm yupo Mzee Mkinga na Danis Mwasalanga. Mwanza yupo Dotto Bulendu, David Mrisho, na mwingine mwandishi wa habari kutoka Shinyanga. Mjadala mzuri wote...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Pamoja na kuwa wenzetu wa chadema kutwa hawalali wako bize kutafuta habari zinazovuruga nchi yetu,mie niko hapa kuwashukuru maraisi wetu watatu walioleta maendeleo Tanzania. 1) Mh raisi Mwinyi...
4 Reactions
106 Replies
8K Views
Enzi za Mwinyi watu walisema serikali imeenda likizo. Kwa sasa mambo yanavyoenda TZ nahisi kuwa labda wakati wa Mkapa serikali ilitoka likizo ikaja kufanya kazi kwa miaka kumi bila kupumzika na...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
TAHADHARI; NIMAKALA NDEFU KIDOGO,LAKINI NAOMBA USOMA HADI MWISHO Umeme: Ni janga la nchi kwa siku za nyuma, sasa na siku zijazo kwasababu hatujawekeza vya kutosha na hakuna juhudi zinzofanyika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hatimayr serikali kupitia waziri mkuu pinda imekubaliana na lowasa na kukubali kuunda tume kuchunguza matokeo ya form four. Tume itaanza kazi wiki ijayo na itahusisha wadau wote wa elimu ikiwemo...
0 Reactions
184 Replies
14K Views
Patriotism has been said to be an indispensable weapon in the defence of civilization against barbarism. Nothing defines barbarism better that the premeditated and internationally unacceptable act...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndg wana jf, Taarifa rasmi ni kuwa kutokana na mabadiliko ya ratiba ya kutofanyika mkutano wa uzinduzi kanda ya Magharibi wiki iliyopita sasa mkutano huo unatarajiwa kufanyika wiki ijayo March...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Kutokana na juhudi za Kamanda Mawazo Alphonce alieko Mkoani Kagera kwa ajili ya M4C, jana jioni familia ya Kagasheki imehamia Chadema. Mdogo wa Waziri Hamis Kagasheki anaeitwa Mbubarak Kagasheki...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
THE National Bank of Commerce (NBC) on Thursday announced the appointment of Ms Mizinga Melu, as its new Managing Director, with effect from May 20. NBC said in a statement released in Dar es...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAKATI MIMI NAMALIZA DARASA LA SABA, Wanafunzi wachache sana walikuwa wakifaulu na wachache zaidi (shule nyingi si zaidi ya watano) walichaguliwa kuendelea na masomo ya sekondari!! watu walikuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bongo Radio Inakuletea kipindi cha Kipima Joto LIVE kupitia ITV: Mada ya leo inasema: KUOKOA ANGUKO LA ELIMU NCHINI. JE, NINI KIFANYIKE? Tusikilize sasa kupitia...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Baada ya CHADEMA kuiteka Nyanda za Juu Kusini kwa maandamano na mkutano mkubwa katika Jiji la Mbeya, leo ni zamu ya Kanda ya Magharibi katika Mji wa Sumbawanga, Rukwa. Sumbawanga utakuwa ni...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
Enock Mbwigane leo asubuhi wakati wa kusoma magazeti, alikumbana na title kwenye gazeti la jambo leo "CHADEMA yabadili mbinu ya kuingia ikulu". Akataka kuisoma halafu akasita kaliweka gazeti...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…