Kamanda wa polisi kahama bwana Everest Magala, ameyafuta maandamano ya wananchi wa kahama yaliyo kuwa yaongozwe na chadema kwenda mwendakulima buzwagi kufikisha kilio chao. Maandamano hayo yalikua...
A delegation from Kagera Region of Tanzania led by Regional Commissioner, Fabian Massawe, is in the country to discuss the implementation of an agreement signed with the Eastern Province in...
KUIONGEREA Tanzania ya leo bila kumwongelea Mwalimu JK Nyerere ni kujidanganya.
Wengine wanathubutu kusema eti awamu hii imefanya maendeleo makubwa kuliko ya Nyerere, ni kwa vigezo gani...
Mtu anapotaka kufanya jambo flani, ilialifanye katika utaratibu sahihi; basi nilazma kwanza awe na mtizamo Fulani ambao ndio utakao kuwa unampa mwongozo. Taasisi yeyote kabla ya...
Muda huu madiwani wa wilaya ya Tarime mkoani Mara, wapo kwenye kikao cha dharura wakiilalua vikali Serikali ya Kikwete juu ya athari zinazosababishwa na mgodi wa dhahabu wa North Mara (Barrick)...
Ndugu zangu,
Hakuna wawili watembeao pamoja pasi na maelewano. Ukiwaona wanadamu wawili wanatembea pamoja, basi, wana makubaliano. Ni watu waliopatana.
Kwenye kundi la watu wa mataifa...
Katika nchi moja ya "kusadikika" watu wake kila siku ya Mungu hawaishi kulalama na hata kujutia aina ya watawala walionao ingawa wenyewe ndio waliwachagua japo inawezekana wanaowaponza ni wapiga...
Wiki iliyopita mwandishi wetu wa gazeti la Raia Mwema alindika habari kuhusu kashfa dhidi ya Taifa na Viongozi wa Tanzania iliyotolewa na raia wa uingereza aitwae Sarah Hermitage.Kwa upande wangu...
Mweshimiwa diwani kata ya Iganzo ashindwa kuwajibu wananchi kile alicho waahidi abaki kuinua mikono juu kazi ipo wanasiasa muwe wakweli kwa wananchi wenu
TUME ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na Jaji Joseph Warioba imetoa mwongozo kuhusu uundwaji wa mabaraza ya katiba ya ngazi ya serikali za mitaa, ambayo jukumu lake kubwa ni kufanya mapitio na...
Wanajamvi mimi nina maoni kwamba mafunzo ya JKT yarudishwe haraka kwa wahitimu woote sekondari na vyuo.Mafunzo hayo yawe ya mwaka mmoja kama ilivyokuwa pale awali. JKT itumike kuzalisha na kufanya...
The town located in southern parts of Botswana has a rich history, including hosting freedom fighters like Nelson Mandela and Samora Machel. MTOKOZISI DUBE | NATION MEDIA GROUP...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kikosi kazi chake cha Vuguvugu la Mabadiliko (M4C), Kanda ya Ziwa, kimefanikiwa kuzoa zaidi ya wanachama wapya 1,000, wengi wakitokea Chama cha...
na Josephat Isango
KWA mara nyingine tena Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimekiliza Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya Mbunge wake wa Meatu, Meshack Opurukwa, kushinda...
Katika mwendelezo wa operationi katika visiwa ndani ya Ziwa Victoria,ambazo zinaendelea kuonyesha mafanikio makubwa kwa CHADEMA,kamanda Mawazo amesema kuwa ,hali ya vijijini kwa chama ni nzuri...
Ni takribani wiki mbili zimepita tangu kutangazwa kwa matokeo ya kidato cha nne, matokeo ambayo yamelalamikwa na makundi mbalimbali wakiwemo wanasiasa.
Leo nataka tusaidiane kutafakari kama...
Tume imeundwa kuchunguza kwa nini wanafunzi tumefeli sana mwaka huu...!!!!??
kwa uelewa wangu naona hakuna jipya ambalo tume hiyo itakuja nalo kwetu maana kila kitu kinajulikana kwa serikali...
1. Imuulize Prof. Jumanne Maghembe sababu za kufuta FORM TWO ZONAL EXAMINATION
Binafsi naamini mtihani uliondolewa kama danganya toto ili kujaribu kuonesha kuwa watoto wa shule za serikali zisizo...
Wanajamvi katika hali ambayo ni ya kusikitisha mbunge huyu Zaben Muhita hajawahi kuonekana jimbon kwake zaidi ya mwaka mmoja na nusu sasa.Wakati huo wanainchi wakikabiliwa na matatizo lukuki kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.