Tumefurahi sana kuona kiongozi wa juu kabisa wa Watanzania kutembelea Israel
maswali tunayojiuliza ni kwa nini Rais Kikwete hata siku moja humsikii akienda Israel?
mbona kila siku anashindaga huko...
Kipa namba moja wa Simba na Timu ya Taifa Idd Pazi "Father" amejiunga CHADEMA. Alisema CHADEMA ndio Chama pekee kinaweza kuleta mageuzi ya kweli Tanzania.
Source: Tz Daima
Mara kadhaa mijadala mbalimbali bungeni imekuwa ikitawaliwa na itikadi za vyama vya siasa badala ya hali halisi ama kuangalia jambo husika kama lina maslahi ya taifa au la.
Wabunge wengi wa CCM...
Mara nyingi watu wa Serikali wamekuwa wagumu kuwasiliana na wananchi wao, hawakubali kwenda kwenye midahalo kuweka wazi misimamo yao na kwa nini. kwa kuwa wanaogopa na watendaji wakishiriki...
Mods.. Naomba post hii isiunganishwe na post zingine zinazohusu elimu ili tujadili mwisho wa kikao chetu kama taifa.
Watanzania tumejadili sana kuhusu elimu, ni kama tulikuwa na kikao cha dharura...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Makao Makuu kimepinga maamuzi ya Kamati ya Utendaji ya Chama hicho Wilaya ya Musoma cha kuwavua Uanachama madiwani wawili wa viti maalum Habiba Ally...
Polisi wameamua kuanza kuwatisha waandishi, na kujihusisha moja kwa moja kuhoji kwanini watu waliofukuzwa CHADEMA, wanaitwa Wasaliti au Masalia.
Na wameenda hatua zaidi mbele kwa kutengeneza...
TATHMINI YA MKUTANO MKUU WA CCM
Msomaji Raia | Raia Mwema Toleo la 270 | 28 Nov 2012
MAKALA hii itahitimisha tathmini yangu kuhusu Mkutano Mkuu wa 8 wa CCM uliofanyika Dodoma tangu Novemba 11...
Ndugu zangu Great Thinkers leo tena napenda tushee/tushirikiane juu ya jambo hili ambalo nimekuwa nikiliona kwa muda mrefu likifanywa na wanasiasa wetu. Na hapa naomba niunguze sauti na kunong'ona...
Mara kadha nimekuwa nikijiuliza, kwanini Watu wa Maeneo yaliyokaliwa na mkoloni mwarabu hasa wale waliofuata utamaduni wa mkoloni mwarabu huwa hawafanyi vizuri kielimu!? Kisha nikapata majawabu...
Wakati fulani nilipata kusikia kuwa Serikali ya Kenya imepiga marufuku utumaji wa meseji nyingi kwenye simu za viganjani pasipo makubaliano ya Mteja na watumaji. Hii ilikuja baada ya kuona tishio...
Moja ya sifa ya kukubali mabadiliko kwa maana ya kupata mafanikio zaidi katika mkusanyiko wa watu wenye malengo na nia moja ni kujenga tabia ya kujifunza (Learning Behavior). Kuna wakati nilitoa...
Kwa wale wanaofuatilia hali ya siasa ndani nchi yetu watakubaliana na mimi kuwa CHADEMA ni pekee ambacho kimeweza kusimama kama chama cha upinzani na imara na kimeweza kukabiliana vilivyo na fitna...
Ndugu zangu nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa serikali hii iliyopo madarakani kwa kupitia viongozi wake,hakika ni janga kubwa kwa wanaoongozwa.
Ninaamini kiongozi ni anapaswa kuwa mfano kwa...
Na Hellen Mwango
26th February 2013
Waziri wa Fedha wa zamani, Basil Mramba
Waziri wa Fedha wa zamani, Basil Mramba (74), amedai mahakamani kuwa alimwelekeza aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya...
Wanajamvi, Najitoa mhanga kufikisha haya kwenu yawahusuyo wana cdm Masasi. Nikianza kwa kuwakumbusha mwezi uliopita tu tarehe 26/01/2013 kulitokea na vurugu za kutisha hapa Masasi zilizopelekea...
Ningependa kuchukua fursa hii kuweka hili jambo wazi kwani limekuwa likinikera mno tena kupita kiasi.
Kwa mifano michache tu:
Kila Jumapili kuanzia saa 2 asubuhi huwa kuna kipindi kinachoitwa...
Utangulizi:
Awali ya yote tusimame dakika moja ya ukimya kuwakumbuka wahanga wa mauji yaliyofanywa na serikali kupitia vyombo vya dola Arusha tarehe 5 Januari 2011 wakati wa maandamano ya kudai...
Chama cha Demokrasia na maendelea CHADEMA kimesema kuwa kinakusudia kumtaja kigogo mmoja ambae ni kinara wa biashara ya kuuza ving'amuzi hapa nchini.
Bwana John Mrema, ambae ni mkurugenzi...
MONDAY, FEBRUARY 25, 2013
Mama Salma Kikwete (MNEC) Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Tanzania (WAMA) akisalimiana na kamati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.