Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taarifa ya maendeleo ya afya ya Kibanda jioni hii.... Habari za jioni wakuu, Muda umekwenda lakini nimeona ni vyema tukashirikishana taarifa fupi tulizopata kutoka Afrika Kusini anakotibiwa...
19 Reactions
80 Replies
8K Views
Nimeandika mara nyingi sana katika miaka hii karibu sana juu ya tatizo la Usalama wa Taifa na haja ya kufanyia mabadiliko makubwa muundo wa Jeshi la Polisi. Baadhi ya mapendekezo yamewahi...
16 Reactions
85 Replies
7K Views
Naomba nianze kuelezea mifano ya hizi propaganda katika makundi mawili: 1. Rais - Kila mmoja wetu anajua katika katiba yetu rais amepewa madaraka makubwa sana ya kimaamuzi na kiutendaji. Haiingii...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kigwangalla aendelea kuwabana watumishi wa Halmashauri ya Nzega na kufukua uozo kwenye bajeti. Asisitiza hayuko tayari kurudi nyuma wala kukatishwa tamaa na watu wachache wanaotaka kugeuza...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu zanguni Wana-JF, nawapeni pole sana kwa majanga yanayowaandama wapenda haki wa nchi hii na wale wote wanaofanya bidii kuuweka uovu wa nchi hii wazi mbele ya wale wasiojua kinachoendelea...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Naziona ishara za sisi Watanzania kufunga safari kuelekea kule jirani zetu wa Kenya walikotoka. Wakenya wa sasa wametokea kwenya machafuko ya 2007. Wakajitafakari. Wakaanzisha...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika siku za karibuni imekuwa kawaida kwa viogozi wetu(vyama na Serikali) kutoa kauli za kuwa wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za matukio mbalimbali hasa yanayohusisha watu/mtu kuuwawa...
0 Reactions
1 Replies
859 Views
Nyasa Times Malawi Minister of Foreign Affairs and International Cooperation Ephraim Mganda Chiume had a scheduled meeting on Friday with retired Mozambican President Joaquim Chissano in...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Suleimani Kova, amedai kuwa kutekwa na kuumizwa vibaya kwa Mwandishi nguli na Mhariri wa New Habari,Absalom Kibanda, si tukio la kihalifu...
8 Reactions
130 Replies
12K Views
Maamuzi ya kisiasa yaliyofanywa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakimu Maswi akisaidiana na Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Kwa sasa Shirika linaendeshwa kwa hasara kama mlivyoambiwa na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani ni yapi matumizi ya wimbo wa Taifa nauliza maana mefungulia radio clouds ghafla naskia wimbo wa Taifa nkajiuliza kunani??? ulipoisha nashangaa watangazaji wameshangilia then wameendelea na...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Kwanza tunaambiwa Uhuru Kenyatta na team yake wameleta ndege na meli zilizojaa pesa zao Then jamaa zetu Magufuli & Co wameenda kupiga kampeni kenya Kisha Raila na team ya majaluo wake wamekuja...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wananchi wilayani Bahi wamemgomea mkuu wa wilaya Bi. Betty Mkwasa na baadae kumzomea. hili limetokea leo pale alipoenda kuwasihi wananchi wa wilaya hiyo kuachana na imani za kishirikina na...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Katika habari za ITV saa mbili, Mama Dr Ester Mwaikambo ameonyeshwa akitunukiwa tunu ya Dr Martin Luther King na balozi wa Marekani nchini. Hafla hiyo imefanyika ubalizini, ubalozi wa Marekani...
2 Reactions
58 Replies
10K Views
"Nilipaswa kuripoti Kambini JKT Ruvu Leo. Nimeamua kusitisha kwanza uamuzi wangu wa awali wa kujiunga na JKT kwa sababu kadha wa kadha. Kama ilivyo ada Nitakuwa jimboni kuendelea na Kazi zangu za...
5 Reactions
89 Replies
8K Views
MWENYEKITI wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), James Mbatia, amesema baadhi ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wana nidhamu ya woga na wamekuwa wakiweka maslahi ya chama mbele badala ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kutokana na mbunge wa kuteuliwa mh. James Mbatia kuibana serikali ya CCM na kupinga juu ya uwepo wa mitaala ya Elimu katika nchi yetu na kutokana na msimamo wake wa kukataa uteuzi wa kuwa mjumbe...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
MARA kadhaa huwa nikifikiria baadhi ya riwaya na hekaya tulizosoma tukiwa wadogo najiuliza iwapo walioziandika walijua wanatuandikia sisi au la, lakini jibu nililolipata hadi sasa, na ambalo lina...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zanguni Kila mara tumekuwa tukiona kwenye vyombo vya habari dunia nzima wakiandika juu ya unyama wanaofanyiwa ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi (Albino). Nimefikiria sana kwa uchungu na...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…