masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,708
- 14,753
Katika habari za ITV saa mbili, Mama Dr Ester Mwaikambo ameonyeshwa akitunukiwa tunu ya Dr Martin Luther King na balozi wa Marekani nchini.
Hafla hiyo imefanyika ubalizini, ubalozi wa Marekani nchini.
Kwa mafanikio hayo nampongeza, lakini nampongeza zaidi kwa kongea ukweli juu ya hali ya wasi wasi uliotanda nchini.
Mama Dr Ester Mwaikambo amesema mafanikio yake yametokana na hali ya usalama na amani iliyokuwepo nchini kwa miaka mingi huko nyuma.
Akaongeza kuwa leo yeye ana miaka 70 lakini hali hii imebadilika na watu wanaishi kwa wasi wasi. Wanafunzi wanaishi kwa wasiwasi kwa kushindwa kujiendeleza vizuri.
Fujo za kuchoma nyumba na makanisa na hata watu kupigwa, hali hii inaondoa amani.
Mama Dr Ester Mwaikambo aliendelea kusema katika hali hii, vizazi vijavyo havitakuwa na amani na maendeleo kama waliyokuwa nayo wao.
NB Mama Dr Ester Mwaikambo ni mke wa marehemu Gibbons Mwaikambo aliyekuwa kati ya wadhamini wa CCM kabla ya kifo chake kilichokuwa cha utata miaka kadhaa iliyopita.