Kova: Kutekwa kwa Kibanda si tukio la kihalifu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kova: Kutekwa kwa Kibanda si tukio la kihalifu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Mar 7, 2013.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2013
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,698
  Likes Received: 4,829
  Trophy Points: 280
  Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Suleimani Kova, amedai kuwa kutekwa na kuumizwa vibaya kwa Mwandishi nguli na Mhariri wa New Habari,Absalom Kibanda, si tukio la kihalifu. Kamanda Kova amedai kuwa tukio hilo limetokana na chuki na kulipiziana visasi.

  Hii ni kwasababu waliomteka na kumshambulia Kibanda hawakuchukua kitu chochote toka kwake. Alikuwa akizungumza na waandishi wa habari kutoa taarifa za uchunguzi wa awali wa jeshi la polisi juu ya tukiohilo lililotokea jana,

  Kwahiyo kutekwa na kushambuliwa si uhalifu? Nani anaweza kumwamini Kova aliyewahi 'kuwasha' sinema ya Dr.Ulimboka na anayeshindwa kuizima hadi sasa?

   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2013
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,517
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tanzania zaidi ya uijuavyo!
   
 3. agatony8l

  agatony8l JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2013
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kashajichokea anasubiri astaafu akagombee ubunge kwa tiketi ya Magambaz!
   
 4. m

  malaka JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2013
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Haya mungu akijaalia utawala ukawa mzuri ni wakukusanya wote Mahakama ya Uhalifu aisee. Wanatia hasira maana matamko wanayotoaga kama hamnazo vile...
   
 5. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2013
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,106
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sijui lin ataonea kiingilishi kidogo......labda twaweza kumuelewa, lakin kwa kiswahili ni kama HK
   
 6. Lusa Nise

  Lusa Nise JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2013
  Joined: Jan 11, 2013
  Messages: 287
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Siyo Kova tu, watendaji wote wa magambas ni wasanii watupu!
   
 7. H

  Haludzedzele JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2013
  Joined: Nov 22, 2012
  Messages: 776
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sio Mtendaji sema sabu Mkuu wa kaya anambeba undugulazation ndio basi tena!
   
 8. M

  Mkempia JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2013
  Joined: Mar 5, 2013
  Messages: 1,129
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Hivi hawa bongo movie hawahaona kova anafaa kuwa msanii mwenzao eti?
   
 9. kashesho

  kashesho JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2013
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 4,303
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Tanzania tuipigie kura iwe ya kwanza katika maajabu saba ya dunia
   
 10. kizaizai

  kizaizai JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2013
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 2,391
  Likes Received: 874
  Trophy Points: 280
  Kama bongo ingekuwa USA haya matukuo yote ya kimafia, akina Denzel Washington na Bradd Pitt wangeshatoa bonge la Documentary.
   
 11. K

  Karibuni masijala JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2013
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kibanda mwenyewe kasema afande alihusika kwani alitaka kumshut ikagoma vile.
  Source. Mwananchi page 3
   
 12. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2013
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kova Atabaki hivyo milele ka analojia. Hata akihojiwa na Mungu atasema uongo
   
 13. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2013
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,154
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Huyo huwa hajieklewi
   
 14. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2013
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,392
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwa nini anapenda kuhukumu kabla ya uchunguzi?
   
 15. Petro E. Mselewa

  Petro E. Mselewa Verified User

  #15
  Mar 7, 2013
  Joined: Dec 27, 2012
  Messages: 5,369
  Likes Received: 2,630
  Trophy Points: 280
  I see...sawa lakini!
   
 16. Monyiaichi

  Monyiaichi JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2013
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 1,789
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Hivi ni kikundi gani kingine kinapractice na koleo za kung'olea meno zaidi ya uwt? Naona vifaa na style iliyotumika inashabihiana na iliyotumika kwa ulimboka. Anataka kusema watz wameshaiga nao wanatumia hivyo ving'olea meno?
   
 17. K

  Kaguta JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2013
  Joined: Jan 31, 2013
  Messages: 414
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Shida ya polisi wetu hawawajibiki kwa sababu serikali imelala usingizi, serikali wenyewe hutoa sababu dhaifu na za propaganda kwenye mambo muhimu! Sasa kwa nini polisi wasije na hadithi za vitu vyenye ncha kali? Au Mwangosi alibeba milipuko? Au Dr Ulimboka ameshambuliwa na Madaktari wenzake wakihisi anawasaliti?
  Subiri kidogo Ccm watoke madarakani ndiyo mtajua serikali hii ilioza kiasi gani, maana sasa hivi watu wanaelezwa hawasikii!
   
 18. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2013
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 6,894
  Likes Received: 4,044
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo hao waliofanya tukio hilo kwa Absalom kama watajitokeza hawatachukuliwa hatua yoyote kwa sababu hawajatenda jinai/uhalifu?
  Na kama Absalom akifungua kesi itabidi afungue kesi ya madai!
  Au kwa Kova uhalifu ni ule unaotendwa na serikali? (rejea issue ya Dr. Ulimboka and other of a like).
   
 19. Wiyelele

  Wiyelele JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2013
  Joined: Nov 9, 2012
  Messages: 1,069
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safari hii watamkamata mtu kutoka Msumbiji na kwamba mtu huyo alikwenda kutubu kwa Mzee wa Upako kwamba alimdhuru Kibanda na Mungu amuokoe
   
 20. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #20
  Mar 7, 2013
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,541
  Likes Received: 984
  Trophy Points: 280
  Bila shaka alidanganya mwaka wake wa kuzaliwa! Sura yake kama ana zaidi ya miaka 70!
   
Loading...