"itz women's day", hiyo ndiyo sababu waliyoitoa.
......
ohhh ndo nini hiyo tafadhali
.....
jamani ni yapi matumizi ya wimbo wa Taifa nauliza coz mefunguliaa radio clouds ghafla naskia wimbo wa Taifa nkajiuliza kunani??? ulipoisha nashangaa watangazaji wameshangilia then wameendelea na matangazo ya biashara
Hawa jamaa kama vile hawajashituliwa na Serikali hivi hawajui Wimbo wa Taifa haupigwi ovyo ovyo namna hiyo??? Na zile za mada za ushoga za jana nadhani hawa wanatakiwa wakae kimya kwa miezi sita watie adabu. Haiwezekani kuwa wakaidi kiasi hiki.
Too bad. Mie pia nilisikia nikashangaa. Yaani sasa watu wanajiamulia. Ulikuwa ukisikia wimbo wa taifa mwili mzima unasisimuka unajua kuna jambo zito, siku hizi duh.............
Hawa jamaa kama vile hawajashituliwa na Serikali hivi hawajui Wimbo wa Taifa haupigwi ovyo ovyo namna hiyo??? Na zile za mada za ushoga za jana nadhani hawa wanatakiwa wakae kimya kwa miezi sita watie adabu. Haiwezekani kuwa wakaidi kiasi hiki.
usishangae ukapigwa disko
Hiyo Radio ya wafu imekosa maadili yote ya kitaaluma. Inaendeshwa na watu wasiokuwa na ujuzi wala maadili.Jamani ni yapi matumizi ya wimbo wa Taifa nauliza maana mefungulia radio clouds ghafla naskia wimbo wa Taifa nkajiuliza kunani??? ulipoisha nashangaa watangazaji wameshangilia then wameendelea na matangazo ya biashara.