salam mwa walongo wangu,
Kwa ukweli inatia aibu sana kumuona huyu mbunge wa Peramiho akilandalanda kwenye kkolido za mjengoni huku akitembea kwenye tiles safi huku akiacha utafikiri aoni jimbo lake lilivyo duni ,hana msaada wowote kusema kule bungeni asemi eti kwa kuwa yeye ni mwenye kiti wa bunge ,tunakuuliza hivi ,hivi tulikupa kula ili ukatetee hicho chama chako cha magamba,wanaperamiho tunasema kaa bungeni fanya kazi na uisemee Peramiho watu wamechoka sana,mbolea tabu,zana za kilimo tabu ukiangalia barabara za jimboni mwako hoi.
Nawataka wana Ruvuma wenzangu tuamke na tushikamane huyu mbunge imetosha ,maana hiyo miaka kumi aliyokaa amenufaika yeye na si wanaperamiho wala wanaruvuma.