Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,284
- 111,335
Nasikitishwa sana licha mimi kutokuwa Mwanachama wa Chadema bali ni Mzalendo wa kweli ninyeipenda nchi yangu na ninaamini kwa sasa ni Chadema peke yake ndio tegemeo letu.
Swali, hawa watoto tulioambiwa na Kitila Mkumbo kwamba hawajabalehe waachwe wabalehe kwanza, mimi pamoja na utu uzima wangu lakini huwa natembelea Facebook, licha ya upuuzi mwingi unaoandikwa na Juliana Shonza na shoga yake Mtela Mwampamba leo nimestushwa kukuta status ya Juliana Shonza kuipiga kijembe Chadema kwamba kwa nini inashabikia siasa za Kenya huku akisahau John Pombe Magufuri alikuwa Kenya kumuunga mkono rafiki yake Raila Odinga.
Sasa kilichonipelekea mpaka kuomba ufafanuzi kutoka Chadema ni huyu binti kumalizia maelezo yake kwa kusema Charity Begun at Home!! hivi huyu ndio Graduate wa UDSM? Tunaomba Chadema mtueleze huwa mnatumia vigezo gani kupata viongozi wenu?

Juliana Shonza said:Wakati wenyeviti na makatibu wa chadema mikoa wakifanya kazi katika mazingira magumu kutokana na tatizo la usafiri, huku baadhi yao wakiambulia pikipiki moja kwa mkoa mzima, Viongozi wa chama hicho wamepeleka magari eti kumsaidia Odinga kenya Hii ni ishara tosha kwamba wamegundua kwamba hawawezi kuchukua nchi hii baada ya watanzania kuanza kubaini mbinu chafu za uchonganishi zinazotumiwa na viongozi hao . Wamepitwa na msemo usemao"Charity Begun at Home"