Ndugu zangu,
kwa muda mrefu, takribani tangu uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 upite hadi sasa tukiwa tunaeleka mwaka 2015 ambako tutakuwa na uchanguzi mkuu mwingine, kuna kitu nimekiona. CCM kwa ufupi...
Willium Ruto is my role model na ni changamoto kwa vijana hasa wa upinzani waliotoka familia masikini. Alikuwa anauza mahindi ya kuchoma barabarani ili apate fedha ya kulipa ada. Ndio maana jana...
Amani kwenu wana JAMII FORUM
Baada ya kutafakari mambo mbalimbali yanaendelea katika nchi yetu nimeona nitumie nafasi hii tujadili kuhusu nchi yetu inazingatia utawala bora?
Kabla ya kuuacha...
Nasikitishwa sana na matukio yanayoendelea nchini ambayo ni viashiria(indicators) vya upotevu wa amani,amani ambayo iliasisiwa na viongozi wetu waliopita kwa gharama kubwa sana viashiria hivi ni...
Huku waheshimiwa wabunge wakiwa wanalipwa sio chini ya 6,000,000/- kwa mwezi na kukiwa na habari za ongezeko la fedha hiyo mpaka 10,000,000/-, madereva wanaowaendesha waheshimiwa hawa wamelalamika...
Hii mahakama ilidizainiwa mahsusi kwaajili ya kuwakandamiza waafrika hasa wale wanaokuwa hawatekelezi yale wanayoambiwa na hawa mabepari katika kulinda interst zao.
Huko China kuna...
Katika makala yake ya Maswali Magumu ndani gazeti la Tanzania Daima Jumapili, la tar 21 Desemba 2010 yenye kichwa 'Kikwete kachaguliwa kwa udini au siasa?'; Ansbert Ngurumo aliandika mengi...
SASA kuna dalili zinazoonyesha kuwa utekelezaji wa mpango wa kumteka na kumtesa kinyama Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, Absalom Kibanda, ulifanywa na watu waliopata...
Siyo siri kuna haja ya kuelimisha umma kwa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015 na hata katika chaguzi ndogo zinazoendelea kwamba mfumo wa tawala zilizopo ni lazima zibadilike ndipo...
SUMU NNE ZINAZOUA UBORA WA SIASA YA NCHI YETU!
Tanzania ni nchi iliyosifika na kujizolea umaarufu kwa miaka mingi sana kwa utulivu na kuwa na mfano wa kuigwa katika utaratibu wa kubadilishana...
Ndugu zangu,
"Na hakika, kwa kutanguliza ubinafsi wetu, tunawaandalia watoto na wajukuu wetu, mazingira magumu ya kuishi kwa amani katika nchi yao.
Katiba Mpya ijayo, iwe ni kwa Tanzania ya...
Mbunge wa viti maalum Mh. Leticia Nyerere amewatoa mashaka waTanzania wote waliokua njee ya nchi juu ya swala zima la kuwa raia wa nchi mbili
Amesema kinachoendelea hivi sasa juu ya maoni ya...
Warioba assists Kahama
The Chairman of the Constitutional Review Commission
(CRC), retired Judge Joseph Warioba (right), assists veteran
politician, Sir George Kahama, walk down the stairs of...
8 MARCH 2013 05:34 (SOUTH AFRICA)
Photos show Daudi Mwangosi's body lying in the dirt, his torso eviscerated after police allegedly
fired a teargas canister at close range. He was the first...
Marekani Yaimwagia Sifa Tanzania
Rais wa Marekani,Barack Obama
Na Mgaya Kingoba.
MAREKANI imesema kwamba Tanzania ni moja ya nchi inazozipigia mfano miongoni mwa nchi zinazoendelea, kwa uongozi...
Afisa elimu msingi wa wilaya ya serengeti jumatano ya wiki iliyopita alitoa kali ya mwaka pale alipotinga katika shule ya msingi nyamoko na kuwakimbiza walimu wa shule hiyo mchakamchaka na kichura...
JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limetaja shule 24 za sekondari ambazo zitatoa wanafunzi 5,000 waliomaliza kidato cha sita watakaojiunga na jeshi hilo. Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Raphael Mahuga...