Habari wana jf wenzangu hebu tulitazame hili la alliances nchini kenya ukwel ni kwamba pamoja na faida zake zote ktk siasa na demokrasia hz alliance zinaua vyama vya siasa sasa hatutakuwa tena na odm wala kanu.swali je tanzania tuufuate huu mfumo ukiangalia na mazngira yetu ya kisiasa?naomba kuwasilisha