2015 ni kazi yangu wewe na mimi kumalizia viti vilivyobaki viongozi wamefanya kazi kubwa sana kuelimisha iliyobaki ni kuhamasisha na kulinda kura
umeshachukua kadi? Ni 1500/= tu... Huo ndo ukombozi wenyewe.... 2014 kujiandikisha kwa wingi si ushabiki tu tunataka matendo......
unatafuta wanachama tena? Tafuta wapiga kura achana na faida ya 1500, nikinunua kadi alafu nikailalia na siku ya kupiga kura nisimpe hicho kiti kitaongezekaje?
Takwimu fupi ya chadema.
Mwaka 1995:wabunge
4,madiwani
42.
mwaka 2000:wabunge
5,madiwani
75
mwaka 2005:wabunge
11,madiwani
103
mwaka 2010:wabunge
48,madiwani
467
mwaka2015??????????.
Takwimu fupi ya chadema.
Mwaka 1995:wabunge
4,madiwani
42.
mwaka 2000:wabunge
5,madiwani
75
mwaka 2005:wabunge
11,madiwani
103
mwaka 2010:wabunge
48,madiwani
467
mwaka2015??????????.
Nadhani takwimu muhimu kuliko zote kwa sasa ingekuwa kuhusu wanachama walio hai! CDM ina wanachama wangapi kwa sasa?
Nashangaa viogozi wa ccm wanabeza juhudi za chadema,to be honest kinahitaji pongezi na support kubwa toka kwa watanzania wote kwani kimedhihilisha jinsi na namna chama kinavyotakuwa kiwe#Inshallah 2015
lete takwimu mkuu na vyenyewe tuone vimekuwaje... Vimeshuka au vimepanda.... Maneno matupu hayasaidii
Takwimu fupi ya chadema.
Mwaka 1995:wabunge
4,madiwani
42.
mwaka 2000:wabunge
5,madiwani
75
mwaka 2005:wabunge
11,madiwani
103
mwaka 2010:wabunge
48,madiwani
467
mwaka2015??????????.
umeshachukua kadi? Ni 1500/= tu... Huo ndo ukombozi wenyewe.... 2014 kujiandikisha kwa wingi si ushabiki tu tunataka matendo......
Hakuna upinzani kama ule wa enzi za mrema.