Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Waziri wa ujenzi bw. John Pombe Magufuli atoa pongezi zake kwa mshindi wa kiti cha uraisi nchini kenya ndg. Uhuru kenyatta huku akisisitiza kuwa bwa. Raila odinga si mwanasiasa mzuri bali ni mtendaji mzuri huku akionekana kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa bw. Uhuru kenyatta kwamba kenyatta ni mwanasiasa mzur ila hana uhakika na utendaji wake ila aahidi kuonyesha ushirikiano wake na watendaji wa nchini kenya na amewaomba wakena wadumishe amani na umoja wasihadaike na porojo zozote zile za uchochezi.