US Ambassador to Tanzania's Statement on the Attack on Absalom Kibanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

US Ambassador to Tanzania's Statement on the Attack on Absalom Kibanda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EJay, Mar 8, 2013.

 1. E

  EJay JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2013
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Statement by United States Ambassador to Tanzania Alfonso E. Lenhardt on the Attack on Journalist Absalom Kibanda March 8, 2013

  [​IMG]
  Alfonso E. Lenhardt, U.S. Ambassador to Tanzania

  We strongly condemn the attack against Tanzania Editors Forum Chairman and Group Managing Editor of New Habari Corporation Absalom Kibanda on the evening of Tuesday, March 5. We also welcome reports that this crime will be investigated by Tanzania's law enforcement agencies to identify a motive and the perpetrators.

  A free, independent media is fundamental to any democracy. The work of journalists is essential to educate the public and to encourage the free flow of ideas in society. Therefore attacks against media professionals threaten the very foundation of democracy. We call for a thorough investigation, arrest, and prosecution of those involved in this crime.


  Source: Press Releases 2013 | Embassy of the United States Dar Es Salaam, Tanzania
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2013
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,515
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wangefanya kutuletea FBI kwa hili pia ingesadidia sana!
   
 3. E

  EJay JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2013
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hii inaonesha kushindwa kwa law enforcement agencies in TANZANIA:yo::yo:
   
 4. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2013
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,143
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hivi ni kweli kwamba watanzania tumeshindwa kabisa kufanya shughuli za kiupelelezi hadi tuhitaji FBI kwa kila jambo? Watanzania wenzangu, kuna nini kinaendelea nchi hii? Kama hatuna uwezo wa kufanya shughuli za kiupelelezi kwa matukio kama haya tunaweza nini tena? Ndiyo maana kesi za EPA hadi leo hazijaisha tunaambiwa upelelezi haujakamilika. Ni nani anawajibika kwa hili? Rais hajaona dosari katika jambo hili?
   
 5. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2013
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,760
  Likes Received: 10,993
  Trophy Points: 280
  Unadhaki kesi ya Nyani unamprlekea Tumbili ndo matokeo yake hayo. Watesaji na wauwaji ni wao wenyewe thn akakamatwe nani?

  Hujiulizi ua Baro walivhujua mda gani kukamata waalifu?
   
 6. k

  kinauche JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2013
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 7,685
  Likes Received: 839
  Trophy Points: 280
  Wataleta FBI bila kuombwa? Polisi yetu inaweza. Mbona ilikamata wauaji wa Barlow?

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 7. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2013
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  mwambieni kova.
   
 8. K

  Kibagata JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2013
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 773
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  waulizeni Magamba wauaji wa kamanda baro mwanza wako gereza gani na kesi yao vip mbona haitajwi. chezea magamba ww walishahukumu.
   
 9. N

  Nyalutubwi JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2013
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 573
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Tanzania the Nation which is loosing integrity worldwide.
   
 10. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2013
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,143
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kwa January Makamba kulivunjwa na vibaka, just the second day wote walikuwa wamekamatwa. Ndiyo maana nasema hii ya kuleta FBI na kuwalipa mihela kibao ni uhuni tu. Uwezo wa kufanya upelelezi watanzania tunao mkubwa sana, tatizo ni kwamba wafanyaji wa haya yote ni serikali yenyewe. Itampeleleza nani?
   
 11. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2013
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,231
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  sio kwamba vyombo vyetu vya usalama havina uwezo ila wasiwasi wangu ni kwamba huenda huu uharif unafanywa na hivhiv vyombo na badae kinachofanyika ni kupoteza lengo na suala lionaachwa kimyakimya, kwa mfano issu ya dk ulimboka imeachwa kimyakimya bila hata kumhoji ulimboka wala watu aliowataja km wahusika.

  Wakuu wa vyombo vya usalama wamesahau kazi yao na badala yake wamegeuka kuwa vipaza sauti vya wanasiasa bila kuamriwa na wanasiasa wafanye uchunguzi hakuna kinachofanyika, sasa hivi usama wa taifa imebaki jina. Ndio maana tunahitaji msaada wa wapererez toka nje hata kwa vitu vidogo vidogo ambavyo hata maskauti wangechunguza wangepata majibu
   
 12. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2013
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280

  Hapo mnawahitaji lakini linapokuja suala la Kigamboni mnakua wakali, kama mnawahitaji basi mkubali na wao kua wanawahitaji(kupewa kigamboni) Nothing Is For Nothing.
   
 13. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2013
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,515
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mh hapo patakuwa hapatoshi, wao si waliamua kujitolea kusaidia kwa kuona TZ haijiwezi ktk mambo ya upelelezi, waendelee hadi hapo tutakapo jiweza tena.
   
 14. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2013
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,863
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Oyaa nani kakwambia Tanzania kuna Rais? Tanzania kuna RAHISI
   
 15. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2013
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280


  Mkuu kikubwa ni kuomba uhai ili uyaone ya mbele, lakini Kigamboni mtaiachia tu tena kwa tabasamu.
   
 16. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2013
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Basi Tanzania itakuwa state ya Marekani kwa ajili ya kuchukua resources tu.
   
 17. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2013
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Unamaana gani Morinyo?
   
 18. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #18
  Mar 8, 2013
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 46,790
  Likes Received: 29,117
  Trophy Points: 280
  Sasa kama wapelelezi ndiyo haohao watuhumiwa , unategemea matokeo gani ? Thats why we must look for another option , hawawezi kujichunguza wenyewe .
   
 19. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2013
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,143
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hao wa nje wanaletwa na nani? Na wakishachunguza wakapata taarifa mhimu, matokeo ya uchunguzi watapeleka wapi? Watawatangazia wananchi? Matokeo ya uchunguzi wa milipuko ya mabomu Mbagala na Gongo la mboto zipo wapi? Si walishirikisha wataalamu kutoka nje?

  Mimi naona huu ni ufujaji wa pesa za nchi tu. Kama wanajijua wao ndo wamefanya huu uhuni, sasa yanini tena kuleta wachunguzi kutoka nje? Tunata tatizo kwenye uongozi wa juu wa nchi. Kama hatakuwa na uwezo wa kuwawajibisha watendaji wake kama alivyo hivi sasa kwa hakika hakuna kitakachokwenda hapa.
   
 20. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2013
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  I mean haya matukio yanayoendelea tunahitaji sana uchunguzi wa FBI, ili kuzuia uhalifu itabidi tuwe karibu na serikali ya US kuliko kipindi chochote kilichowahi kutokea. Na hakuna njia ya kuwa karibu nao inayoweza kuzidi ya kuwapa eneo walilotaka siku nyingi bila mafanikio.
   
Loading...