PICHA: Jinsi CHADEMA Walivyoiteka Musoma Jana

PICHA: Jinsi CHADEMA Walivyoiteka Musoma Jana

Bukanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
2,857
Reaction score
1,938
Kama tayari zipo hapa jukwaani MODS zitendeeni haki...
SAM_2832.JPGSAM_2837.JPGSAM_2839.JPGSAM_2840.JPGSAM_2841.JPGSAM_2843.JPGSAM_2845.JPGSAM_2850.JPGSAM_2851.JPGSAM_2852.JPGSAM_2853.JPGSAM_2854.JPGSAM_2855.JPGSAM_2859.JPGSAM_2860.JPGSAM_2871.JPG
 
Hii ni nooooouma mbaya,magamba wanajihisi baridiii.,hawajashtuka kumbe washalowa.
 
na hiyo jana walipiga bonge la mkutano kwa WASSIRA yaani magamba zao ni kuiba kura tu at Jk ANAJUA HILO YEYE SIO RAIS
 
SASA MSUBIRI mwigulu na shonza watafute watu na malori
 
CCM wanadai wamezoea moto wa karatasi ila wangefaham kwamba ikibidi hata serikali ya umoja wa kitaifa itasukwa 2015/16
 
Magamba siasa zimeshawashinda, kule Nape anasharehekea tu ushindi wa kitongoji kimoja wakati CDM wanasonga mbele!
 
Chadema itashinda uchaguzi mkuu wa mwaka 2015,kama kura zitahesabiwa kwa haki,dalili zote za ushindi tayari zinaonekana.Usiniulize ni dalili zipi bali mwenye macho haambiwi tazama
 
hivi dar mmerogwa?dar hakuna maji,foleni,mgao wa giza,wamama wanalala wanne Temeke hosptl,joto kali.bado unaipenda tu sisiem kweli mna ngozi ngumu!!
 
Hivi chadema inao wanachma wanhapi kitaifa?

ili isaidie nini? Toka ccm ianzishwe nadhani wametoa kadi mpaka ya mil 18 ila wanadai wana wanachama mil 5,so magamba mlisema chadema chama cha msimu.2lieni mnyolewe.
 
Back
Top Bottom